Samwel Sitta: Wa kuogopwa urais 2015 ni Dr. Slaa tu

Tusisikilize propaganda kuwa CHADEMA hatuna viongozi wa kutosha kuendesha nchi. TUMEVUMILIA sana TUMECHOKA na sasa tunataka KUSONGA MBELE, na tusirudi nyuma KAMWE. M4C

From his PRESIDENT facebook wall

Go on Dr. Slaa, Go on our next president. SSM wanakuogopa kama ukoma maana 2010 ulikuwa ndiye Rais wetu wakachakachua. 2015 ile hasira ya watanzania itaikomesha SSM. Kampeni zimeanza na mimi ndugu zangu wote kijijini nimeanza kampeni Chagua CDM. Siku hizi mobile phone kampeni kabisa kila mahali reachable. Kama kitambulisho cha mpiga kura kinanunuliwa kwa 5000 mimi nitatuma zaidi ya hapo na hakitauzwa!!! CDM sina kadi ya chama ila ikifika kampeni naomba mnifatute niwape ushauri. Nitajitolea.
 
Huyu Ndiye CHAGUO LA MUNGU.

Ahsante Rais wangu.......

M4C forever.........................

Peoples.................Power.......
 
  • Thanks
Reactions: Ame
maneno machache yenye busara,asiyetaka afumbe macho au azibe masikio.
long live dr slaa!!!
 
Lakini ni ukweli uliowazi kabisa kuwa,CDM bado ni chama chenye viongozi wachache sana wenye uwezo mkubwa.Mathalani chukulia kwa mfano leo hii ukiwatoa Doctor,Tundu Lissu,Mbowe,Mnyika na zitto chadema itakuwa na uhai?.Tuacheni ushabiki yatupasa wananchi kukubaliana na Sitta
 
Hajui maana ya viongozi ni watu gani, amechanganya mtu kiongozi na mtu maarufu, nijuavyo mimi hata CCM ina watu wengi ambao wangepewa fursa na kufanya kazi kizalendo nchi ingesonga mbele hata Chadema pia ina watu wengi pia wenye uwezo tunachoangalia hao wa CCM wamepewa fursa ya kuongoza kwa zaidi ya miaka50 wamefanya nini? kwanini Sita awahukumu viongozi wa Chadema ambao hawajawahi kupewa fursa hata mwaka mmoja? to be fair CCM wamechemka kwa zaidi ya miaka 50 Chadema wakichemka miaka49 bado naweza kuwa na imani nao kuliko CCM.
 
mbona Nape alijibiwa?...Naomba Dr na hili pia Sita ajibiwe kiukamilifu..tuache ushabiki...piiipooooooooooooz
 
tulisikia hayo maneno yakisemwa juu ya sata wa zambia'yako wapi'zambia inasonga mbele imerudisha heshima'go Dr go'we need you!
 
Kama ilivyo bungeni, hata nje ya bunge ni vivo hivyo. CHADEMA mmoja = CCM 50. Tafakari
 
usimwonee ZZK
Nimuonee kwani yupo uchi?? mnafiki Vijana wanakufa haongei chochote, kisa kuikosoa serikali? wakati huo huo anajidai kuwa ni mpigania haki za vijana eti atawaunganisha... wanakufa kimiaa no tweter, FB or JF kulaani anasupport MNAFIKI MKUBWA.
 
Dr. Slaa achana na huyu MNAFIKI, NYOKA na MZANDIKI sitta, Mungu atamlipa hapa hapa duniani, kama alivyolipwa Dito na Muzihili....
 
Lakini ni ukweli uliowazi kabisa kuwa,CDM bado ni chama chenye viongozi wachache sana wenye uwezo mkubwa.Mathalani chukulia kwa mfano leo hii ukiwatoa Doctor,Tundu Lissu,Mbowe,Mnyika na zitto chadema itakuwa na uhai?.Tuacheni ushabiki yatupasa wananchi kukubaliana na Sitta

Kumbuka ccm kuna viongozi tunawajua kwa uzalendo wao na tutawashirisha kwenye serikali'nchi hii ni mali yetu wote'nakubaliana na wewe kwa point yako lakini tusirudi nyuma
 
Six ni Mnafiki!! Aulizwe aweke Hadharani Muafaka wa Richmond / Dowans, Kwa Kupenda madaraka aliufanya mjadala ukawa soft akitegemea Huruma ya Kuendelea na Uspika 2010 to 2015!! Ila haikumsaidia kwani majeraha aliyowaachia mafisadi yalikuwa bado Kupona!! Hivyo Hana Jipya
 
Lakini ni ukweli uliowazi kabisa kuwa,CDM bado ni chama chenye viongozi wachache sana wenye uwezo mkubwa.Mathalani chukulia kwa mfano leo hii ukiwatoa Doctor,Tundu Lissu,Mbowe,Mnyika na zitto chadema itakuwa na uhai?.Tuacheni ushabiki yatupasa wananchi kukubaliana na Sitta

Viongozi wenye uwezo mkubwa CDM wapo, tena wengi tu, ila sema hawana majina makubwa kama ilivyo ccm.
 
Kawaida mtu mwenye akili anachagua maneno machache ya kusema na kupeleka ujumbe. Hana muda wa kudanganya. Go on Dr. Slaa, Go on my president.
 
Six ni Mnafiki!! Aulizwe aweke Hadharani Muafaka wa Richmond / Dowans, Kwa Kupenda madaraka aliufanya mjadala ukawa soft akitegemea Huruma ya Kuendelea na Uspika 2010 to 2015!! Ila haikumsaidia kwani majeraha aliyowaachia mafisadi yalikuwa bado Kupona!! Hivyo Hana Jipya

Yuko kimya anatumikai ubunge!! Kwani ana biashara nyingine ukiacha Siasa? Atakula wapi akipigwa ufagioo wa chuma???
 
Lakini ni ukweli uliowazi kabisa kuwa,CDM bado ni chama chenye viongozi wachache sana wenye uwezo mkubwa.Mathalani chukulia kwa mfano leo hii ukiwatoa Doctor,Tundu Lissu,Mbowe,Mnyika na zitto chadema itakuwa na uhai?.Tuacheni ushabiki yatupasa wananchi kukubaliana na Sitta

Tulipopata Uhuru mwaka 1961, kwani tulikuwa na wangapi walikuwa na uwezo wa kuongoza nchi??? Sita mwenyewe alikuwa ktk safu hiyo hiyo ya uongozi Wakati aw Uhuru, sasa mbona alikubali kuchukua mada raka wakati Hana uzoefu. Mbona KIkwete ,Mkapa, Mwinyi, na Nyerere hawakuwa na uzoeffu wa uraisi lakini tuliwapa????
Kuna maw aziri wengi wenye uzoefu wanavurunda wanabaki kuhamishwa kutoka wizara moja mpaka nyingine Huku wakisababisha HASIRA kubwa sana!!!!
 
Back
Top Bottom