Barcelona 3-chelsea 1

Hii math ilikuwa just incredible! Nilipomwona Torres akifunga niliwaza kwamba katika mazingira yale, mchezaji wa Taifa Stars angepaisha juu ya goli!
 
Credit to Chelsea,they full deserve it,I back them to lift the trophy in munich on May, As a Liverpool fan I was happy to see Nando score in a fantastic way like he used to at LFC
Mkuu, una hakika wewe ni mshabiki wa Liver?! Mbona kule kwenye jukwaa letu huonekani???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom