Tofaut za airtel modem za 30,000/= na 70,000\= | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofaut za airtel modem za 30,000/= na 70,000\=

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by wiseboy, Jun 26, 2012.

 1. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,703
  Likes Received: 1,885
  Trophy Points: 280
  Wadau husika na headin above....mm ni mgreater thnker mwenzenu, nataka kupachase moderm ya airtel, naona kuna hizi za promotion na zile za elfu 70, naomba kujua utofauti wake jaman.
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,009
  Trophy Points: 280
  mnh ya elf 70 ndo ipi? Maana sjawah ziona ungeeka aina za hizo modem then tutafanya comparison
   
 3. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu nimenunua hii huawei e173 ya airtel, nimeinstall kwenye computer yangu(window 7 ultimate) fresh kabisa na network inasoma bila shida, lakini inagoma ku-connect internet. Msaada tafadhali kwa wanaotumia hii modem.
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,551
  Likes Received: 18,226
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya offer ya 30,000 ni nyeupe, iko slow kichizi, ila rate yao iko low. aIle ya 70,000 ni nyekundu, iko faster pesa inakwenda sana!. Ukiinua hiyo ya offer, wanakudanyia net ya bure kwa miezi 6, kiukweli, wanakupa bundle fulani, within a month, bundle linakata, unarecharge kwa 150 na kupewa MB 50. Ile nyekundu, bundle yake ya MB 50 ni 500!.
   
 5. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu jaribu kuangalia balance kama ipo.
   
 6. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  TZS.70,000/= bei ya zamani na TZS.30,000/= ni bei ya sasa.
   
 7. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Balance iko vizuri, nikiweka kwenye simu line inasoma bado nina zaidi ya MB 200 katika lile bundle la MB 400. Kwakweli nimeshindwa kuelewa tatizo hasa liko wapi?
   
 8. f

  funguo Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  piga 100
   
 9. Eddy M

  Eddy M Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  mmmh! Mkuu,sikushauri uchukue modem ya aina yoyote kutoka Airtel,usijaribu,ziko slow sana.Jaribu kwingine
   
 10. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jaribu kubadili line ujue tatizo ni line au modem otherwise i have no further coments.
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,551
  Likes Received: 18,226
  Trophy Points: 280
  ni kweli ziko slow ila ndio cheap. TTCL ziko faster ila ni 8,000 kwa wiki!.
   
 12. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mkuu nimekuelewa mkuu hizo nyeupe ni Huawei E173 na speed yake ni 7.2mbps kwa kudownload na 5.6mbps kwa ku upload. Na ile nyekundu na maandishi meupe ni ZTE MF180 ambayo sifa ni kama za hapo juu kabisa. Tofauti yake ni kwamba. Huawei mpaka sasa uchakachuaji wake ni Gharama lakini hiyo ZTE kuchakachua ni bure kabisa yani ni rahisi kupindukia. Kuhusu speed ya hizo modems zote ni sawa.
   
 13. Benzoic

  Benzoic JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 425
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  sasa wewe kwa nini unaleta matatizo yako kwenye post ya mwenzio? Toa suluhisho kwanza ndio uelezee matatizo yako! Hapo ni sawa na kuomba msaada kwa anayeomba msaada.
   
 14. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Tofauti kati ya modem ya 30,000/- na 70,000/- si ni 40,000/-
  Hii nayo mpaka tukwambie?!
   
 15. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni kweli mkuu ulichosema, nisamehe bure!
   
 16. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,703
  Likes Received: 1,885
  Trophy Points: 280
  thanks, i wanted to knw the difference in perfomance, bt kama zote ni sawa, basi zantel wapo juu balaa, they ave untold speed, sema tatizo hawajaenea.
   
Loading...