pole wee! hebu jiulize kama amekubembeleza mrudie,hujaona mabadiliko tangu unaanza(km kafika kileleni)mpaka wewe unamaliza.leo hii ye ndo akose utamu we vp?we ndo huna utamu labda uone analilia tena.
wee! usiwape moyo hao michepuko wanaume wametofautiana kuna anaepeleka moyo,maini, mapafu na kila kitu.ila wababa wengine wako makini nyumbani mwao, michepuko ina maisha magumu km nini!pole yao kwa kweli.
du kuna watu mmebarikiwa vipaji yan hujatumia nguvu lakini habari inavunja mbavu kweli.wala usichanganyikiwe mbona una kipaji cha ucomedian? jiunge na team ya anne kansiime.
asante ndg kwa ukweli ulioueleza,, nakuheshimu bure,kwani kuna watu wanajitahidi kukataa ukweli na kutaka kuconvice watu wafuate mawazo yao.lakini uweli ni sisi binadamu hatukutokea duniani kama accident tu tukajikuta tuliumbwa na huyo alietuumba ana makusudi mazuri na sisi cha msingi we need to...
Chonde chonde wakuu !kwa yeyote anaejua Ghala la tamthilia ,na uwezekano wa kuirudia tafadhali fikisha ujumbe kwamba hakunaga tamthilia kama" the long waait" tunaisubiri sana kitaa
wapi wewe!wanaume wamezidi kugeuzia shingo wanawake weupe hata hao wapaka mikorogo wenyewe walivo na soko thubutu wewe!wanaume ndo chanzo kikubwa cha wanawake kufanya maamuzi magumu ya kuwa weupe usoni 2
umeona eeh!ukweli ni wanaume wengi hawajui kutofautisha uzuri na weupe!km watoto wa kichaga wangekua dili namna iyo basi mabinti mikoa mingine wangedodea ndani lakini inshalla na weusi wao wako ndani ya nyumba mapenzi motomoto life inasonga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.