Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
mzima wewe.... nimekumithije
Mie mzima.Nimekumithi pia
mzima wewe.... nimekumithije
duh haya sawa sisi rafiki wa shetani . mnona nyie wa Mungu mnakubali kudanganywa na rafiki wa shetaniShetani anatumia silaha hatari sana iitwayo mwanamke ili kumtia matatizoni au kumwangamiza kabisa mwanaume:- Cjui kama mnakumbuka Eva alivyomtia majaribuni baba yetu Adam.....Au mmesahau mbabe Samson alivyoingizwa mkenge na Delilah.......Jaman pamoja na kwamba hawa viumbe ni mama zetu, dada zetu na pia ni wake zetu lakin mjue mtoa mada yuko sahihi
duh haya sawa sisi rafiki wa shetani . mnona nyie wa Mungu mnakubali kudanganywa na rafiki wa shetani
Na Mungu alimpa uwezo shetani wa kuwajaribu watu wa Mungu
Mnajiangalia upande wenu!!Kweli kabisa wanawake wakiamua kukubadilikia dunia yote utaiona chungu, wakati ambao naupitia hivi sasa ni mgumu sana kwa sababu ya mwanamke na sikuwahi kuwaza kama angeweza kuja kufanya alichofanya. Nakiri na nitazidi kukiri kuwa wanawake ni viumbe wenye roho mbaya sana tena wanapoona kuna tatzo wao ndio wanakandamiza hapo hapo.
Kwel kabisa.Mi naona tusiwaweke watu katika mazingira ya kukosea ili kuhalalisha mawazo yetu nimeona hii pande zote hususani kwa vijana ambao hawajakomaa kama mleta mada unafanya kosa halafu unataka mwenzako ashangilie ili umuone malaika sio vema hebu tuwatendee wengine kama ambavyo mngependa kutendewa.
kwa hiyo sisi ni watu wa shetani???????????????????
Cjasema hivyo lakin natambua kwamba nyie ni viumbe wa ajabu sana hapa duniani ndo maana kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kwamba:- Sisi tunatakiwa kuishi na nyie kimachale sana
Ukweli mtupu
Hivi kijana kama wanawake wana roho mbaya leo hii wewe si ungeendelea kuwa bao tu unaogelea kwenye korodani za mdingi wako...!!!
Hivi kijana kama wanawake wana roho mbaya leo hii wewe si ungeendelea kuwa bao tu unaogelea kwenye korodani za mdingi wako...!!!
mara nani kama mama!mara mwanamke mkatili!,tushike lipi ss?kuna wanaume wanafanya matendo ya kikatili haiwezi kujumuisha wanaume wote.tunapofanya hivyo tujaribu kupanua mawazo yetu kisa mke wangu amenitifua nakurupuka wanawake wote wakatili, hii inaonyesha jinsi watu wasivyokuwa na upendo na wake zao wanasahau mama dada bibi shangazi mamdogo ni wanawake!na utake usitake hakuna binadamu yeyote dunia hii alie karibu na mtu zaidi ya mke au mume ndo mana maandiko matakatifu yanasema mwili mmoja labda uamue kuwa binafsi uishi peke yake.hakuna raha dunia hii zaidi ya mtu kumpata mpenzi wa kweli!