Mwanamke ukizoea kuwa mchepuko ndoa utaisikia tu

Mwanamke ukizoea kuwa mchepuko ndoa utaisikia tu

Mkuu lazima wakose wakuoa tatizo wabahili sana wenzao wanatunza wenyewe wanapenda vya buree.....na sk iz wanawake tushagundua kua michepuko ya watu basi ndio roho inawauma si unajua mtenda akitendewa lazima roho imuume ehne

wafunge ndoa hizo pesa zao.... kijan amzima unataka kuhudumiwa .... mimi natoa angalizo mapema nakuja ninahamu ya kitu fulani unahela huna siji
 
wee! usiwape moyo hao michepuko wanaume wametofautiana kuna anaepeleka moyo,maini, mapafu na kila kitu.ila wababa wengine wako makini nyumbani mwao, michepuko ina maisha magumu km nini!pole yao kwa kweli.
 
Kweny michepuko me na ke mechi ni droo maana ukiondoa mashoga na wasagaji. Halafu wengi huku tunapiga madongo kama vile hatupendi kumbe either tumekosa fursa au tunaogopa ngoma na mengineyo. Exception zipo.

True 99% ke , me wote wanachepuka just wanapretend ,
 

Attachments

  • 1407329995370.jpg
    1407329995370.jpg
    35.4 KB · Views: 171
mchepuko ni wimbo humu ndani khaaaa eee nyeeee
 
Ah! Mamaa mtetea michepuko! Nilijua tu lazima ujitokeze hapa. Usijiendekeze kuwa mchepuko halafu utegemee miujiza ya Mungu kupata ndoa.

Michepuko mingapi imeolewa na inachepuka kama kawaida?
 
Ukizoea kuwa mchepuko utaishia kuwa mchepuko tu labda ukipanda hadhi kidogo utaishia kuwa nyumba ndogo lakini ndoa utaisikia tu na kushuhudia harusi za wengine tu.
Usitumie ujana wako kwa maisha ya kuwa mchepuko utahangaika sana kupata ndoa.
Ushauri wa bure ukitaka zingatia, hutaki puuzia utayakuta mbele ya safari. Mkataa pema pabaya panamuita.

Michepuko ya kudumu imeibuka.ila inauma wewe kila siku kuchangia watu
 
Baelezeeeeeee


Ukizoea kuwa mchepuko utaishia kuwa mchepuko tu labda ukipanda hadhi kidogo utaishia kuwa nyumba ndogo lakini ndoa utaisikia tu na kushuhudia harusi za wengine tu.
Usitumie ujana wako kwa maisha ya kuwa mchepuko utahangaika sana kupata ndoa.
Ushauri wa bure ukitaka zingatia, hutaki puuzia utayakuta mbele ya safari. Mkataa pema pabaya panamuita.
 
Hahahahaaaa! OUR GOD IS A FORGIVING GOD AS LONG AS YOU CONFESS! Riziki anagawa Mungu peke yake binadamu yenu maneno tu!

Mungu huyu sijui kwanini amekaa mbali hivyo???!!!
 
Back
Top Bottom