Nilikutana na mdada mmoja mtandaoni; siku tulipopanga kuonana alinifanyia surprise. Kwanza alinambia nimuelekeze ofisini ndo aanzie (alitoka mbali ya nilikokuwa). Alifika ofisini tukasalimiana, then akaniaga na kunambia anatafuta hotel apumzike then atanicall ili tukae sehemu tuongee mawili matatu. Kwa namna nilivyomwona alivyokuwa classic ilinibidi niende benk kuongeza unene wa wallet.
It was Suturday - hivyo kazi ilikuwa half a day. By saa 8 nilimpigia sm kumuuliza alipo - alinielekeza. Nilifika na kuuliza kama wana huduma ya msosi, bahati mbaya chakula alichokitaka yeye hakikuwepo (samaki wa kuchoma + ndizi za kukaanga) Ilitubidi tuondoke pale hadi Villar - Kirumba.
Mhudumu alikuja tukaagiza vinywaji na msosi kama kawaida; tuliendelea na maongezi huku tukitumia; ilipofika mida ya saa 2 hivi; nilimuita mhudumu ili nipewe bill nilipe tuendelee na mambo mengine; sauti toka kwa mrembo huyo ilisikika ikisema hivi "Sweetie naomba hiyo bill tuigawane kwani nami nafanya kazi kama wewe unavyofanya kazi na isitoshe una familia wakati mi bado niko single" Nilimwambia hakuna kabaya. Alilipia vinywaji mi nikalipia misosi.
Tuliondoka hadi hotelini na kuburudika kama kawaida. (Kumbuka chumba kalipa mwenyewe). Baada ya mechi niliondoka kwenda kujimwagia maji ili nisepe; nilirudi na kumpa kile nilichojisikia kumpa lakini alikataa kabisa kupokea hicho (pesa) bas tuliagana. Wakati niko njiani alinitumia sms na kunieleza kwamba kwenye mfuko wa koti wa ndani kuna bahasha niangalie then nimjibu.
Nilifungua hiyo bahasha nilikuta laki moja na cheni ya silver. Nilipomuuliza pesa ni za nini alicheka na kukata cm.
Bajameni ... mliwahi ona?
kaka tulizana na wife wako acha mapepe leo umemgegedea mkeo nje na umejiweka hadharani unajitangaza kesho nawe ukapata japo hisia tu kwamba kuna kijogoo kina mme...ndea shem ni kiasi gani moyo utakulipuka? haipendezi tunza familia hiyo ni dhamana uliyoipokea kwa ridhaa yako mwenyewe.
Kakupigia tena au?? Kama bado hebu mpigie mwambie aksante kwa yoote aliokutendea huku akiwa anajua kuwa weye ni married.
Then muulize ana nia gani na weye? Asikudanganye mtu kuwa huyu ni kiumbe au ana ngoma. No huyu ni mwanamke anayetaka anachokitaka na wasichana wetu tungetamani wajiamini hivyo hivyo. Tutakosa nyumba ndogo na ndoa zetu zitapona.
Angalia, kama unataka kuendelea na huyu mdada, usijaribu wala usithubutu, kumwambie ati usimkute na mtu. Hiyo ndiyo siku ya bye bye kwako na yeye.
Unasema? Namba yako ya simu ni ipi?Cha ajabu ni nini hapo?
Unasema? Namba yako ya simu ni ipi?