Mwanamke anang'ang'ania ukajitambulishe kwao

Hii imekuwa kasumba ya wadada walio wengi mnakuwa na uhusiano let say miezi 4 au 6.

Hujamfahamu zaidi anaanza kukueleza lazima muende mkajitamburishe. Jamani unajua kwenda kwa wazazi ni hatua kubwa sana.

Anataka akupeleka haraka haraka.

yan mnakaa miezi 6 hamjafahamiana vizuri?
 
hahaaaaaa

admin hajasafiri kwenda Mbeya????

Hahahaaa wewe binti acha kunivunja mbavu. Kwa kifupi mimi nimeshanyofolewa kwenye hilo group lenu. So sina taarifa tena kama kasafiri ama la. Umejuaje wewe? Utakua mganga siku si nyingi.
 
hhaaaaaaa umenichekesha hapa balaa... washakunyofoa.. lol nimecheka sana Skype..
kwanini wamekunyofoa au
atakua malkia kafanya yake....
 
Last edited by a moderator:
Kama kakwambia ukajitamburishe nenda.....

Ila akikwambia ukajitambulishe kimbia
 
Hii imekuwa kasumba ya wadada walio wengi mnakuwa na uhusiano let say miezi 4 au 6.

Hujamfahamu zaidi anaanza kukueleza lazima muende mkajitamburishe. Jamani unajua kwenda kwa wazazi ni hatua kubwa sana.

Anataka akupeleka haraka haraka.

Atakua amekukubali sana. Mi nakushauri uende ukajitambulishe ila kama hujawa tayari mpe ukweli usimpotezee muda.
 
Aise ngoja na wewe yakukute.
 
Hii imekuwa kasumba ya wadada walio wengi mnakuwa na uhusiano let say miezi 4 au 6.

Hujamfahamu zaidi anaanza kukueleza lazima muende mkajitamburishe. Jamani unajua kwenda kwa wazazi ni hatua kubwa sana.

Anataka akupeleka haraka haraka.

Miezi minne kwa siku hizi si haba. Kama una malengo yaweke wazi. Wengine wanapiga mwaka wala hana mpango wa kukuonyesha. Hapo soma alama za nyakati.
 
Wakuu ushauri pia hapa!
"Una rafiki yako mmekaa katika mahusiano yapata mwaka na miezi mitatu sasa, now umempa @ujauzito.
Je unaanzaje anzaje kwenda kujitambulisha kwao na binti na nini kinapaswa kupelekwa?"
 
Hapa sio suala la miaka. Jambo kubwa ni kufahamiana. Unajua kukutana kimjini mjini!!!?

Unataka kufahamiana kwa miaka 6?.....uchumba sugu siku hizi no......get serious
 
Back
Top Bottom