mzee akilimali
Member
- Jan 31, 2014
- 18
- 6
Sugu mbeya hatakiwi ni bora jimbo likarudi ccm kama hawa chadema wataendelea na huyo joseph mbilinyi kwanza sisi wazee anatudharau kabisa huwa tukienda ofisini kwake hayupo muda mwingi harafu akitukuta anajua tumeenda kuomba pesa kwake sio kila mtu akienda ofisini kwake anakuwa anataka hela tunaenda tumpe matatizo yanayotukabili sisi na sio pesa