Never underestimate the power of nyumba ndogo

Never underestimate the power of nyumba ndogo

Hivi kumbe wanaume ni selfish eeh? At the same time wanaume hawataki tena kuoa housewives, wanataka working class women sababu wameshaona maisha yalivyo magumu, wanahutaji msaada wa malezi.hilo hawalioni kwamba ni failure kwao ila kutwa kutaka kupetiwa petiwa.
Huyo huyo mwanamke atoke kazini, kachoka kama wewe.arudi akupikie, watoto wamdandie mwilini na uchovu wake awahudumie, wakati huo mwanaume uko bize na rimoti madai wategeshea taarifa ya habari ya sa mbili kamili.kama hujazaa vile.we ushapumzika, ushaoga ushashiba wataka usiku mkeo akupeti peti wala asikwambie kachoka.afu uje kutishia kutoka na nyumba ndogo...yani uoe kabisa huyo nyumba ndogo tuone kama ni mwanamke kweli.wengi mkishabugi mnarudi humu kuomba ushauri wa kurudia wake zenu sababu ndo mnakuja amini nyumba ndogo ni mitego ya kunyonyana hela.huna hata maendeleo uliyofanya! Its high time wanaume mnitambue.ndoa is more than that! Siku vaeni uhusika wa wake zenu muone kama ni maembe! Eboo
Wapwani wengi wanaonekana kuweza kupetiana sababu kwao its customary kuwa housewife kushinda nyumbani kuogea machicha ya nazi kumsubiri mume jioni.wanawake wanaweza sana kupeti kama huna kazi ya kufanya ye mume anatimiza mahitaji yote ya nyumbani.sio mtake mke afanye kazi huku wataka awe mashine ya kukupa maraha usiku kucha! Utu wenu uko wapi!...


hapo sasa, wanaume hatuwaelewi mnataka nini, kama unataka full time kupetiwa na kubebwa mgongoni basi oa darasa la saba!!!! sisi wa maofisini mtakuwa mnatuonea kwa demand zenu za ajabu ajabu..
 
kamusi hyo inaitwa 'player gets played' ,inapunguza sana stress kwa kweli..

sio tu kupunguza stress inaleta heshima pia!!!! yani asifikiri yeye tu ndo anajua kutongoza, ajue kabisa na mimi huwa ninatongozwa vile vile!!!!!!!

unajua wanume wakishaona umezaa watoto 2-3 wanaona umezeeka, huna soko..basi atakurusha roho na hivo vihawara vyake weee, siku akijua kuwa wife anaweza kucheat/ kacheat ndio akili inamrudia kuwa naweza mpoteza wife hivi hivi
 
asante ndg kwa ukweli ulioueleza,, nakuheshimu bure,kwani kuna watu wanajitahidi kukataa ukweli na kutaka kuconvice watu wafuate mawazo yao.lakini uweli ni sisi binadamu hatukutokea duniani kama accident tu tukajikuta tuliumbwa na huyo alietuumba ana makusudi mazuri na sisi cha msingi we need to live responsibly remembering that tutavuna tupandacho kiwe kizuri au kibaya.
 
Na wewe mwanaume kwenda kwa nyumba ndogo ndivyo unavyompa nafasi mke wako naye kufanywa nyumba ndogo na mwanaume mwingine,ngoma draw usije kulalamika,....mapenzi is two way traffic acheni kulalamika,play your part well......
 
hapo sasa, wanaume hatuwaelewi mnataka nini, kama unataka full time kupetiwa na kubebwa mgongoni basi oa darasa la saba!!!! sisi wa maofisini mtakuwa mnatuonea kwa demand zenu za ajabu ajabu..

gooooood!!!!!! nimekupendaje
 
Eeeh Mmezidi na nyie ,some men are impossible to please,...mkeo hachokii??na jeee wewe mwanaume unampa mkeo everything na yeye asitoke nje??
Unafikiri kukucheat haiwezekani?haki mi ukizidisha vurugu za nje no need kuzozana wl js give a treat of ur own medicine......
Nikae nawaza the power of nyumba ndogo ili iweje wkt nimeolewa mimi،(legally)
nyumba ndogo wanadanganywa tuu,mume wa mtu sio,hadi kanioa mimi HE HAD REASONS

We jiachie achie uone kama hayatakutokea.
 
kwa hiyo na nyie mkishndwa kutimiza mahtaj yetu tutafute vdumu??? sometimes mume humtoshelez mkeo kwa bed lkn anavmilia.......... unaishiwa huna hela dada wawatu anashndia uj wa sembe lkn anavumilia..... bidada mshahara wake unaishia kulea familia hata kujifanyia shoping anashndwa na vitabu vya dn vimeandka mwanamke atazaa kwa shida na mwanaume atakula kwa jasho. bt stil bidada anazaa kwa shida na kula kwa tabu lkn anavumilia......... sasa nyie mnashindwa nini kutuvumilia???! co cr mwanamke akizaa majukumu yanaongezeka so tuvimiliane jaman coz hata nyumba ndogo unayoiona tamu ikizaa itakua chungu sasa utamaliza nyumba ndogo ngap??! RUBIS!!!!!!!!
 
Hoja zako mkuu lakini ni Nyepesi mno Na zinaondoka nje ya maada..



Unaposight Kwamba Aziniye Na Mwanamke Hana Akili kabisa umeongelea upande mmoja, sikupingi. Lakini kimachoniuma sana ni watu wengi hufungua maandiko yanayowapa faraja na kinga binafsi Na kuacha ombwe la mafurushi ya madhaifu yao.. Kama unalitumia NENO La Mungu litumie Kwa Haki.. Fanya majukumu yako uliyoagizwa 100% . Mtu uko bize Na madudedude mengine, mkorofi, ukiguswa umechoka, hata mumeo akikuandikia SMS hujibu you don't care at all, unademand tu mambo makibwaa Na Ndo stand yako everyday.. Kisha Mtu akipiga nje unachomoa kaandiko Ka kujidefend.. NASEMA usimdhihaki BWANA Mungu wako.. Unachopanda ndio utachovuna, ngojea akuletee gonjwa Ndo utajua ana akili au hana.. Timiza wajibu wako uone Kama Mungu hatakunyoshea Mtu wako , si iliandikwa Mwanamke atamlinda Mwanaume unadhani andiko lile takatifu lilikuwa Na maana gani??!?


Hivi mnawaonaje wanawake wasioolewa, hivi mnajua nao wana kiu ya Kuolewa?!. Je unapopanga hukumu Yake unahakika wewe huna hukumu.. ??! Je alimtongoza mumeo au Mumeo ndio alikwenda Kwa shida zake kutokana Na tifuo unalompa?

Tunapoongelea Nyumbandogo hatuongelei mambo ya Mtu kuwa Na malaya wa kumridhisha Kwa tendo la ndoa, tunaongelea mbadala wa Mke, sio kila Mara Mtu huenda kunanii sometime they just have good time together..talking and have fun together kitu ambacho alitamani atende Na Mke wake ila Mkewe huita mambo hayo kupoteza wakati, utoto Na ujinga.. Nyumba ndogo ni mbadala wa Mke.. NASEMA sio Kukampein Bali hata hao Nyumbandogo wangependa Kuwa wake kamili hawajaitiwa hapo.. Unadhani Yeye hawazi !? Think twice..



Hapo mamito pole Sana sana. Unadhani Ukienda Mbinguni ndio utapata Mume Bora? Maisha baada ya haya ni ya Kiroho zaidi, huko hakuna kuoa wala Kuolewa so Kama unacheza makidamakida hapa ati huko utapata beat husband imekula kwako . Hakuna life jingine la Binaadam zaidi ya Hili, Hilo la Baadae sio la Binaadam Mwenye mwili Bali ROHO yake..

100% mkuu.
 
lakini mbona zigo lote la kutunza ndoa mnamwachia mwanamke just imagine nae ni mfanyakazi je haitaji kubembelezwa??????
mwanaume anaetoka nje ya ndoa asidhani hao nyumba ndogo wanampa upendo bure wengi ndo OFFICE hizo na ni lazima wawajibike ili kulinda kibarua kinachowawezesha kuishi mjini

nyumba ndogo anakupetipeti ili umlipie kodi na mume hapo badala ya kuwekeza kwa ajiri ya familia yake anajiona mjanja kuhonga nyumba ndogo

nyumba ndogo anapendeza kwa sababu unampa pesa ya shopping,saloon, achilia mbali vipodozi na mikwanja midogomidogo

je mkeo mara ya mwisho lini ulimpeleka SHOPPING.lini ulimpa hela ya saloon. lini ulimtoa out
sana sana unajiona mjanja unatoa hela ya majukumu ya nyumbani basiiiiiiiiiii
kumbuka mke nae anahitaji kutengenezwa ili aweze kutoa vyema hizo huduma unazozipata nyumba ndogo za kupeti peti na kumassage

pamoja na yote kumbuka nyumba ndogo yingi huwa hawana kazi zaidi ya kujirembaremba na kumsubiri bwana mkubwa basiiiiiiiiiiii
je mkeo atoke offisini kachoshwa na foleni home kuna watoto wanamsubiri awasaidie homework
na hapo unampa lawama juu kuwa hawajibiki SHAME ON YOU
wanaume wote wenye nyumba ndogo ni wabinafsi wanaozifikiria raha za muda mfupi tu

Sikiliza mototo mzr shida iko HV mlivyoanza sivyo anavyofanya kwa sasa wanaume wanaakili sana yuko radhi kufanya chochote ili mradi umpe nafasi nzuri kuna rafiki mmoja aliambiwa na mke wake kuwa kachoka kwa kuwa jamaa anahitaji akamwacha kesho yake akabaki nyumbani akamsaidia kila kaz akitegemea watakuwa wamechoka wote cha kushangaza mke akaenda kupiga zoga akamwachia kaz jamaa kazifanya zote Usk jamaa kaomba mke kageuza sijisikii vzr sometimes wife boa sana.
 
Miss neddy nimekupenda ghafla..ulosema yote yana ukweli.Wanawake hawabweteki wana majukumu mengi ya kifamilia zaidi ya kupet hao wanaume.Nyumba ndogo anapewa kila hitaji lakini mke hujihangaikia mwenyewe kukamilisha mahitaji yake na wakati mwingine ya kifamilia.Hivo huwezi kuwafananisha machangudoa (nyumba ndogo) na mke.

We we in mtoto wa kike wanawake wanatongoza sana nasi wapewe pesa Bali wagegedwe kwa kuwa walishawavuruga waume zao sasa hawapati halisia .nawe tetea kama hayajakukuta yanakuja utalia na hakuna wa kukusaidia.
 
Sure for that
this is bcoz of only wivea think that after marriage that is all naaah if still u did the same way u did before marriage u will never hear nyumbandgo from a man
Bt bcoz u feel proud been married n end there for sure u will hear n see nyumbandgoo
 
mkeo anatoka kazini, afanye majukumu yote ya nyumbani including kuhudumia watoto...wewe umechonga nne kwenye sofa, bado unataka akupeti... Hivi hapo nani anatakiwa kumpeti mwenzie??!! Huyo mkeo ana mwili wa kibinadamu ama ni robot??!!
Hebu siku moja na wewe baba ukitoka kazini ufanye shughuli zote afanyazo mkeo kama hujaishia kukoroma kwenye sofa kama simba manake utashindwa hata kwenda kitandani.
Acheni kijifikiria wenyewe tu bhana.
Hapa duniani kama kuna kiumbe mbinafsi ni mwanaume..dah!...
 
Seriously wanawake mlioolewa wengi Wenu mnaboa sana sana Aisee, Mnadharau sana Nguvu ya Nyumbandogo, Mnaviona Kama vimalayaflani visivyo Na Bahati. Na kurukia waume Za watu. Sure I am telling you stop this. Never underestimate the power of nyumbandogo.

Umebweteka tu, ukirudi home umejitupia Kwa bed ukiguswa unamaka Eti umechoka, mumeo yuko bize Na simu down night we unaona poa tu, Kwamba ni jiwe la mtoni weye Maji yatapita yataliacha, frendie umebug mama. Tena Kama ni reli imegeuka tope, Nyumbandogo zina nguvu sana..

Ukibahatika sana waweza kudhibiti mshahara lakini unajua marupurupu mengine yanapo elekea?, lunch, OT, mishemishe Za kiofisi unajua fedha Yake ni zaidi ya Mara tano Na kitu ya kimshahara chake! Unajua zinaelekea wapi!?!, acha Ushamba, unadhani kuna maisha mengine zaidi ya Haya.

Sijui mmelewa mvinyo gani, aliyewadanganya kawalogea Kwenye uongo , Nyumbandogo zina power sana sana. Wanaume all days hukimbizia Fedha zao Kule wanakoinjoi love. Imagine Kwenye Kitabu Cha Biblia, palikuwa Na Mfalme mmoja aliyeitwa Daudi.. Aliyekuwa Na wake Saba wa ndoa Za Kishindo.. Wote walibweteka wakimsubiria Mfalme amteue Mtoto wa mmoja wapo awe mrithi wake.. But what happen, Mwanamke Mwingine we can say Nyumbandogo (Bathsheba) aliyekuwa Mke wa bwana mmoja askari Uriya, akapenetrate within the David Kingdom , akawa the 8th wife Na Kuutwaa Urithi wa Ufalme Kwa mwanae Solomon., wale wengine wakabakia mimacho pyuu, Then Nyie Leo mnadharau hii kitu. Chezea pesa, hata Kazi chezea but usichezee mume. Itakucost.Kazi yaweza potea ukasaka nyingine mume akikuponyoka siku akirudi haji peke Yake ameshajifungashia zigo la Gonjwa, anakugawia Na wewe.. Nambie kama utaona Raha ya Kazi tena, Kama utaona Raha ya Shule unayoikazania. Kila siku openiyunivaste-yunivaste itageuka klose-yunivaste.

Hapana aisee , badilikeni, mkeep bize mwanaume at your Body, mmassage, make him happy, is the only husband an pet man you have. Mwanamke mmoja makini akinambiaga Yeye mumewe anamtendea "vitu" kiasi hata akienda nje hawezi kuta Kama hivyo ampavyo. But wengine maadam keshaolewa, Na ndoa zenyewe hizi Za kikristu, one wife , Basi anaona kafikaaa, Umelogwaje,wakati wa Mchana mchane Na Whatsapp mwenyewe akome sio kuwaachia wengine wamuwatsapp utajuta.

Kazi, Watoto, Ndugu Na majukumu mengine yasikufanye ukapoteza lulu yako ya Kuwa Na happy time Na Mumeo..



Big up umenipata, akili ya Mwanaume hupeleka Moyo wake, sio Siri Za familia tu hata zake zote hummwagia Yule ampaye faraja hata kama ni temporary.. Hii Ndo naiita Nguvu ya mwanamke.. Nguvu ya Mwanamke iko katika kuutumia uanauke wake Kwa mwanaume.. Wanawake wengi ni Kama wanaume, Tabia Za Ubishi,ugomvi, kujifanya bize Na Kazi, kuutojali hizi ni Tabia Za kiume, Na alway like poles repel.. While unlike pole attract.. Mwanaume akiziona Tabia hizo Kwa Mkewe lazima azikimbie kiaina..

Mwanamke ni gentle, flexible, laini, Mkimya flan, anajianini .. Na lazima mwanaume ampende.. And that is exactly what side women do.. Kwenye Vitabu vya Dini tulisoma Mwanamke tu Delilah Kwa kutumia uanamke wake, love, flexble, nyororo Na all time yuko bize Na the Great powerfull man Samson, aliyewashinda thousand of men but this simple women akamteka.. Mwanamke ana Nguvu sana akiutumia uanamke wake Na si ubabe

Waambie . wamezidi sana wake zetu.
 
Back
Top Bottom