Jinsi umri wangu unavyosonga ndo unavyozidi kunichanganya

Jinsi umri wangu unavyosonga ndo unavyozidi kunichanganya

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Zamani wakat bado mdogo lakin nikiwa nimeanza kujitambua nilikuwa natamani sana kuja kuwa padri, baadae umri uliposogea sogea kidogo nikawa natamani kuwa dereva wa treni, ckuishia hapo, nikaanza kutamani kuja kuwa commando.....hee...!!

Nikadhani matamanio yameishia hapo, enzi za Tyson alipokuwa anawavunja taya wapinzani wake ulingoni "eti" na mi nikawa natamani kuwa bondia, hali hiyo ikanipelekea cku moja niende kwny kambi flan ya jeshi cku ya ijumaa kuangalia mazoez, nikajikuta nanogewa na mi nikaomba kupigana.

Nilidundwa vzr tu bondia machachari sana wa kike....!! nikaona isiwe shida sana, matamanio yangu yakahamia kuja kuwa mtangazaji wa kituo cha radio...nako cjui ikawaje, nikaanza kutamani kuja kuwa mcheza mpira tena nafac ya golikipa.....nashangaa cku hizi natamani sana kuja kuwa mwanamieleka......sasa kama kuna mtu ana uelewa wowote kuhusu mchezo huo hebu anielekeze japo kwa ufupi taratibu za kujiunga nao
 
Yallah mbavu zangu tehe tehe teeeeeehe, ngumi zilikushinda mieleka utaiweza kweli we sasa kifo kinakuita

Na mi najishangaa sana....maana kwny ubondia nilikung'utwa vzr tu na ka bondia chipukizi ka kike
 
du kuna watu mmebarikiwa vipaji yan hujatumia nguvu lakini habari inavunja mbavu kweli.wala usichanganyikiwe mbona una kipaji cha ucomedian? jiunge na team ya anne kansiime.
 
Zaman wakat bado mdogo lakin nikiwa nimeanza kujitambua nilikuwa natamani sana kuja kuwa padri.....baadae umri uliposogea sogea kidogo nikawa natamani kuwa dereva wa treni.....ckuishia hapo, nikaanza kutamani kuja kuwa commando.....hee...!! nikadhani matamanio yameishia hapo.....enzi za Tyson alipokuwa anawavunja taya wapinzani wake ulingoni "eti" na mi nikawa natamani kuwa bondia... hali hiyo ikanipelekea cku moja niende kwny kambi flan ya jeshi cku ya ijumaa kuangalia mazoez, nikajikuta nanogewa na mi nikaomba kupigana.....nilidundwa vzr tu bondia machachari sana wa kike....!! nikaona isiwe shida sana, matamanio yangu yakahamia kuja kuwa mtangazaji wa kituo cha radio...nako cjui ikawaje, nikaanza kutamani kuja kuwa mcheza mpira tena nafac ya golikipa.....nashangaa cku hizi natamani sana kuja kuwa mwanamieleka......sasa kama kuna mtu ana uelewa wowote kuhusu mchezo huo hebu anielekeze japo kwa ufupi taratibu za kujiunga nao

Subiri kidogo kuna jingine utalitamani muda si mrefu lakini fanya yote ila usifikirie kuwa mpolitik
 
du kuna watu mmebarikiwa vipaji yan hujatumia nguvu lakini habari inavunja mbavu kweli.wala usichanganyikiwe mbona una kipaji cha ucomedian? jiunge na team ya anne kansiime.

Mkuu hivyo vyote vinakuja kwa kuvitaman tu, ambacho nimewahi kujaribu ni huo ubondia tu nao nikapigwa
 
Zaman wakat bado mdogo lakin nikiwa nimeanza kujitambua nilikuwa natamani sana kuja kuwa padri.....baadae umri uliposogea sogea kidogo nikawa natamani kuwa dereva wa treni.....ckuishia hapo, nikaanza kutamani kuja kuwa commando.....hee...!! nikadhani matamanio yameishia hapo.....enzi za Tyson alipokuwa anawavunja taya wapinzani wake ulingoni "eti" na mi nikawa natamani kuwa bondia... hali hiyo ikanipelekea cku moja niende kwny kambi flan ya jeshi cku ya ijumaa kuangalia mazoez, nikajikuta nanogewa na mi nikaomba kupigana.....nilidundwa vzr tu bondia machachari sana wa kike....!! nikaona isiwe shida sana, matamanio yangu yakahamia kuja kuwa mtangazaji wa kituo cha radio...nako cjui ikawaje, nikaanza kutamani kuja kuwa mcheza mpira tena nafac ya golikipa.....nashangaa cku hizi natamani sana kuja kuwa mwanamieleka......sasa kama kuna mtu ana uelewa wowote kuhusu mchezo huo hebu anielekeze japo kwa ufupi taratibu za kujiunga nao

utakuja kutaman kuwa shoga na ukishafika huko ndo tutakua tumekukosa na itakua ndo conculsion
 
Mmh, ulistukizwa?

Nshtukizwe wapi, tuliitwa kabisa na refa...blue kona.....red kona...box, nikaingia na wazo moja kwamba akinizidia nimkumbatie...kumbe nilikuwa najidanganya...binti alikuwa anasukuma masumbwi ya mbalimbali tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom