Hili linakela sana!Wanawake wetu wengi wanadhalilisha uafrika.
Hata kuvaa wigi it is not right.
Kwa nini wasistiki na hali yao ya kuzaliwa?
Mbaya zaidi wabunge/mawaziri wanawake wetu hawaonyeshi mfano.
Kama wewe mwanaume una mke wako,lazima uwe embarrased na mkeo kujichubua uso,wakati body yake ina rangi ya asili