Recent content by Freza

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa si wa kuamini

    Katupwa, huko Tanzania haina uhusiano na wewe Brazil, mkuu atamaliza muda wake bila hata kukunyaga huko. Nchimbi na Lowassa damu damu
  2. F

    JamiiForums Tanzania Milango ya kuelekea kuzimu kutokea duniani

    Imenisikitisha sana Habari, baadhi watu walioteswa na Hitler ni Mashahidi wa Yehova
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi shule bado zipo tu?

  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali la weekend kwa wanafamilia...

    Laki mbili, hela ya mwanamke sio ya familia, hiyo ya kusukia, na ya kufanyia mchezo
  5. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, ile picha inayoonekana pale mwezini ni nini!!

    Una thelathini na ngapi now
  6. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, ile picha inayoonekana pale mwezini ni nini!!

    Kweli siku hizo huwezi kuona, coz ukiwa mdogo unaweza kuconcertrate kwenye vitu, coz huna kazi nyingine, halafu uwezo wa kuona mbali unapungua umri unavyoeenda mbele
  7. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Imani

    Matahayo 16:16
  8. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Imani

    Yesu aliuliza wanafunzi wake swali hilo, Watu huko mtaani, wanasema mimi, ni nani? Na ni
  9. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata nguvu upya baada ya bao la kwanza (Getting an erection after ejaculating)

    Mwezi mmoja, hivi. Halafu kama unatumia bia acha kwa muda huo, then utaona matokeo
  10. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata nguvu upya baada ya bao la kwanza (Getting an erection after ejaculating)

    Bia zinapunguza uwezo wa kwenda masafa marefu, kama mtumia. Punguza au acha kabisa. Utaenjoy.
  11. F

    JamiiForums Tanzania World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    JK: ukitaka kula lazima ukubali kuliwa kidogo - Akili ya kuambiwa changanya na yako
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri wanajamii Forums

    Ucha ufala wewe, unawaumiza hisia wote. Heshimu wanawak, heshimu uhusiano walio nao. Utawavuruga bure
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mwanachuo ahukumiwa miaka 30 jela kwa ulawiti

    Dogo ni shoga, ila jamani jamani, I Hiyo dhambi ni kubwa sana. Wote wanastahili kufungwa dogo na jamaa
  14. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata nguvu upya baada ya bao la kwanza (Getting an erection after ejaculating)

    Mazoezi, kunywa chai yenye asali, green tea, baada ya muda unaweza kufanya baada ya muda mfupi
Back
Top Bottom