Msaada: Kupata nguvu upya baada ya bao la kwanza (Getting an erection after ejaculating)

Msaada: Kupata nguvu upya baada ya bao la kwanza (Getting an erection after ejaculating)

Punguza pia tention kabla,baada na wakati watendo hii pia huchangia kunakipindi ilinitokea sana ila nilipokuja kugundua nikawa poa sometimes in a good mood naunganisha hata viwili trust me labda kama unatatizo lingine kikubwa zingatia sana maandalizi hata bao moja wanaridhizikaga wengine!!NB utamu wa kufanya mapenzi ni ejaculation tu
 
sometimes napo mwenzio anachangia kukuhamsha tena....
awe jojo asiwe gogo.....
 
siku vijana kuivavanga papuchi inafanywa kama jehad,vita vijana wanasimamia kucha....haikomoki hiyo wala aina makombo,mnawe lisaa lako 1 ukizama tako zako kadhaa wazungu hao...tungua boxer...nenda kwenye shughuri za ujenzi wa taifa....
 
You need to have an active woman not otherwise
 
Mazoezi ya kegel, pendelea Kula mayai ya bata, tikitik maji pia ndizi, pia ukienda na demu usimfakamie sana kwa miham mwone wa kawaida tu pia ondoa hofu/uoga yakua huwez(saikolojia)
 
Hizi issues za pre ejaculation ni matatizo yanyotokana na ulaji mbovu hasa bàada ya hizi GMOs products ku dominate, Nina dawa ya hili tatizo feel free kunicheki pm. Ukitumia hii dawa njoo wape mrejesho hapa jamvini.
 
Kupata nguvu mpya inategemea.na akiba ya
1. Hizo nguvu ulizo na nazo
2. Mshawasha wa Huyo unaemwita gelfwendi wako

1. Kama una ukame basi unaweza kuwa unaunganisha.

2. Unaweza kumaliza ila bibie akawa anafanya matukio ambayo abadani hutaweza kusubiri.

Kama huna akiba na gf wako yupoyupo tu. Basi akili yako na uhitaji wako utapambana kutegemeana na afya na uzito wako. Asante.

Kama unatumia pesa akikisha raha unayopata inaendana na pesa yako.

Lakini uasherati huchosha mwili na akili na kukufanya uwe dhaifu.
Mwishowe hakuna mwanamke anapenda mwanaume dhaifu. Utabaki mpweke na kufa ukiwa mkiwa.
 
Back
Top Bottom