Wanasiasa si wa kuamini

Qualcomm

Senior Member
Nov 27, 2013
177
138
Uchanguzi ndani ya CCM mwaka 2015 Nchimbi na Magufuli hawakuwa wanaiva, kumbuka kundi la Nchimbi, Kimbisa, Sofia Simba n.k, sasa leo ona haya:
JO4A9466.jpg
JO4A9538.jpg
 
Ni kweli kabisa katika siasa, hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu
 
Uchanguzi ndani ya CCM mwaka 2015 Nchimbi na Magufuli hawakuwa wanaiva, kumbuka kundi la Nchimbi, Kimbisa, Sofia Simba n.k, sasa leo ona haya:
View attachment 462280 View attachment 462281
Mbona Lema na Lowasa walikuwa hawaivi!? Mpaka kufikia kumtolea maneno ya kashfa na matusi pale mwembeyanga...Leo hii ni mabesti wakutupa. Acheni UZANDIKI.
 
Kusema ukweli Nchimbi hakuwa na bifu na Magu
Yeye alikuwa na bifu na Membe na akili za wengi pale mkutanoni walijua zengwe alilopigwa EL ni la kumbeba Membe.
Magu alichomolewa from no where
 
Katupwa, huko Tanzania haina uhusiano na wewe Brazil, mkuu atamaliza muda wake bila hata kukunyaga huko. Nchimbi na Lowassa damu damu
 
Nadhani Nchimbi ni Mwanasiasa honest sana. Sio mnafiki. Hilo Magufuli kalitambua.
 
LAITI UNGEJUA NI NANI KASABAIBISHA MAGUFULI KUWA HAPO,,,, HUWEZI KUWAACHA KIMBISA , SIMBA NA NCHIMBI, ULE UWASI WAO ULIKUWA NI MPANGO MADHUBUTI KUDHIBITI CHAGUO LA MWENYEKITI NA WALIFANIKIWA.
 
Back
Top Bottom