tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,653
- 7,927
Habari zenu wanajamvi...
Ninalo tatizo la kupata nguvu upya (erection) hasa baada ya bao la kwanza (ejaculation). Je kwa kawaida kwa mwanaume inatakiwa kusubiri kwa mda gani ili kupata nguvu upya? Nimeuliza hili swali maana mimi huwa inanichukua saa moja hadi matatu na siku zingine hadi usiku wa manane kupata nguvu upya (erection), jambo hili linasababisha girlfriend wangu kupata aibu ya kusubiria awamu ya pili.