Naomba kujuzwa, ile picha inayoonekana pale mwezini ni nini!!

We una matatizo mengi tuu,ulupost tarehe 8 eti merry chrimass?
Haya huku unakuja na zile fikra za kitoto za kale eti mama kabeba mtoto na kuni,hivi una miaka mingapi,ujue hakuna kukariri madarasa tena!! Ohoo na matokeo ni kuchukulia mahakamani.
Kipindi changu cha shule kishaisha labda mtihani nilonao ni kupambana na maisha tuu!!
 
Kama nyerere alionekana kwenye muembe tanga basi ujue watu wanamuwaza sana mpaka wakaona taswira take vivyo hivyo katika mwezi kutokana na watu wengi kukata tamaa na maisha huku wakitumai mungu atarudi one day wakitazama juu wa naona kitu kama hicho wakiamini mkombozi anakuja
 
Kweli siku hizo huwezi kuona, coz ukiwa mdogo unaweza kuconcertrate kwenye vitu, coz huna kazi nyingine, halafu uwezo wa kuona mbali unapungua umri unavyoeenda mbele
Mi nilikuaga naona kama mwanamke ananyonyesha siku hiz hiyo picha sion ahahahha itakuwa ukubwa
 
Hahaa zaman tulikua watoto dhambi ndogo,saiv wakubwa tumeshaongeza dhambi za kutosha ndio maana hatuoni kitu.
Ehhehehe hakuna kitu ni sawa sawa na zamani mawe nilikua nayaona makubwa kweliii nimekua nayaona madogo tu
 
Wakuu poleni na majukumu na harakati za hapa kasi tuu!!ni mda mrefu kidogo sikuwa hapa jukwaani kutokana na kazi!!vilevile niwatakie heri ya chrissmass na mwaka mpya! Namshukuru mungu nimerudi salama huko nilipoluwa!!katika pitapita zangu nimeulizwa hili swali nikashindwa kujibu maana mimi sio mtaalam wa hizi sayansi!!

Hivi ukitizama mwezi kwa makini pale kama kuna picha ya mtu anaonekana!!na ukitizama kwa haraka haraka unaweza ona kama kuna mtu kabeba mtoto mgongoni na kichwani kabeba mzigo wa kuni mara myingine hua kama kakaa anasukuma kitu kama wale wanawake wa kizamani wanasaga mahindi kwenye jiwe au mmara inaonekana kama **** mwanamke anatembea je!!!

Kuna ukweli wowote kwenye kuwa kunanpicha au ni mtizamo wangu wa kifikra!!

Naomba wataalam wanafafanulie hilo!!
Ni picha
 
Kuna ukwel hapa hasa hilo jiwe la bismarck zaman lilikuwa kivutio kwel kuubwa,siku hizi kadogo kamekonda. Ila utoton macho yanakua yanaona mbali.
Ehhehehe hakuna kitu ni sawa sawa na zamani mawe nilikua nayaona makubwa kweliii nimekua nayaona madogo tu
 
mwezi ni kama dunia hivi ilivyo kuna mabonde na milima kwahiyo ile reflection ya mwanga wa jua inasababisha vivuli baadhi ya sehemu na kutengeneza hizo image mnazoona na kwa coincendence tunaona kama mtu tukiwa wadogo walisema maria kambeba Yesu.
Maelezo yako ya mwanzo ndio jibu sahihi pasi kuingizia uliyomaliza nayo
 
Wakuu poleni na majukumu na harakati za hapa kasi tuu!!ni mda mrefu kidogo sikuwa hapa jukwaani kutokana na kazi!!vilevile niwatakie heri ya chrissmass na mwaka mpya! Namshukuru mungu nimerudi salama huko nilipoluwa!!katika pitapita zangu nimeulizwa hili swali nikashindwa kujibu maana mimi sio mtaalam wa hizi sayansi!!

Hivi ukitizama mwezi kwa makini pale kama kuna picha ya mtu anaonekana!!na ukitizama kwa haraka haraka unaweza ona kama kuna mtu kabeba mtoto mgongoni na kichwani kabeba mzigo wa kuni mara myingine hua kama kakaa anasukuma kitu kama wale wanawake wa kizamani wanasaga mahindi kwenye jiwe au mmara inaonekana kama **** mwanamke anatembea je!!!

Kuna ukweli wowote kwenye kuwa kunanpicha au ni mtizamo wangu wa kifikra!!

Naomba wataalam wanafafanulie hilo!!

Una chance kubwa huwa una tabia ya kuweweseka usiku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom