Sia Cathbeth
Member
- Sep 13, 2015
- 34
- 30
Mimi ni mwanachuo hapa nchini. Am always on stake of questions hivi tuna taifa la wasomi au wataalamu wakuibia majibu wasio weza hata kueleza ubora wa elimu wanayoipata vyuoni. I have witnessed many people cheating graduating maybe this is why we have poor leaders who can not help us all due to improper use of the skills given to college properly.
Inakuwaje wasomi hawaleti chochote, tunasindikizana tuu. Elimu si duni tuu Wanafunzi tuna kauzembe ambacho kanatuua kifikra. Unapo mwelimisha mtu umuhimu wa kujisomea na kutumia elimu yake ku generate fruit to our country and world in general hawezi anakuona mnoko.
Nyie walimu wetu mnajua mmenyamaza mnachochoea moto. Utasikia siwajua tupo mbagala nisije sakaziwa kundi lika niumiza bure waache waende mbele. Hivi kesho tutakuwa kuwa wapi? Kama tunazunguka duara lile lile lisilotujenga.
Mwanafunzi hawezi hata kujieleza anasimama kaa mshumaa uliowekwa katika pembezoni mwa bahari. Ukimuuliza utasikia mimi nilisoma swahili schools how does it connect you na kushindwa kujieleza kwa confidence, ina maana kiswahili hakina ujasiri wa kujitosheleza?
Walimu mnajua fika sekta zote za udanganyifu kama hizi
% kuandika mapajani/mwilini
% kuchora madawati
% kuandika kwenye nguo za ndani underskirt haswa kina dada
% kuingia na simu
% kuingia na vitini
Uuuwi ati tunalalamika umaskini. Mtu ana master ila anaandika broken English tena unakuta kapost kwenye social media au ndo status za WhatsApp dah nisaidieni umaskini utaondokaje? Nani ataajiri copy paster si bora niajiri ROBOT kuliko first class ya copy paster.
Ebu tubadilike. Tukomboe challenges zinazokabili nchi yetu.