Ndo Hilo Tu au Kuna lingine
WordWe become what we think.......
Mawazo yetu....na vilivyomo vichwani mwetu vina mchango mkubwa sana katika kusukuma malengo na kuzifikia ndoto zetu....
Tunaporuhusu mawazo na fikra za kipuuzi zitawale fikra zetu.....bila ya shaka hatuwezi kujinasua katika dimbwi la ujinga....na kubakia katika njia ya upumbavu.....
Usugu wa mawazo hayo ya kipuuzi yanaathiri hata mitazamo yetu juu ya vingine......
Kwa kuwa tumewekeza fikra, mawazo na sehemu kubwa ya tafakari zetu kwenye ngono......tumejikuta kila kitu tunakitazama na kukifananisha na Ngono......
Take control of your thoughts....
Take control of your destiny.....
utazungumza sna hawata kuelewa mkuu .....politics kill.our bright mind mkuuWe become what we think.......
Mawazo yetu....na vilivyomo vichwani mwetu vina mchango mkubwa sana katika kusukuma malengo na kuzifikia ndoto zetu....
Tunaporuhusu mawazo na fikra za kipuuzi zitawale fikra zetu.....bila ya shaka hatuwezi kujinasua katika dimbwi la ujinga....na kubakia katika njia ya upumbavu.....
Usugu wa mawazo hayo ya kipuuzi yanaathiri hata mitazamo yetu juu ya vingine......
Kwa kuwa tumewekeza fikra, mawazo na sehemu kubwa ya tafakari zetu kwenye ngono......tumejikuta kila kitu tunakitazama na kukifananisha na Ngono......
Take control of your thoughts....
Take control of your destiny.....
utazungumza sna hawata kuelewa mkuu .....politics kill.our bright mind mkuu
hahahahahahaWalimu wa Senge watakuwa vichwa sana
Kuna mtu aliyesoma Ufala primary school ani pm tukumbushie enzi zetu? Ninahistoria kidogo ya hiyo shule si mbaya tukikutana tubadilishane mawazo hapa Jamii Forums.
Tatizo mkuu wee ndo umeenda mbali tena sana kimtizamo wala sikuwa na maana hiyo unayofikiria!!We become what we think.......
Mawazo yetu....na vilivyomo vichwani mwetu vina mchango mkubwa sana katika kusukuma malengo na kuzifikia ndoto zetu....
Tunaporuhusu mawazo na fikra za kipuuzi zitawale fikra zetu.....bila ya shaka hatuwezi kujinasua katika dimbwi la ujinga....na kubakia katika njia ya upumbavu.....
Usugu wa mawazo hayo ya kipuuzi yanaathiri hata mitazamo yetu juu ya vingine......
Kwa kuwa tumewekeza fikra, mawazo na sehemu kubwa ya tafakari zetu kwenye ngono......tumejikuta kila kitu tunakitazama na kukifananisha na Ngono......
Take control of your thoughts....
Take control of your destiny.....
Mkuu mchango wako huu umerejesha akili za wengi kwenye mstari unaotakiwa. Shukrani.We become what we think.......