mie naona sometimes we shld have to take risk for the others, hii inatokana na mfumo wa serikali yote hujajipanga vizuri,viongozi wanafanya kazi ya kujaza matumbo yao. ila tumewashtukia sasa,tushaanza kuweka mambo sawa kuepuka hicho chama chao tawala, so tunakwenda kubadilika kuanzia uchaguzi...
mie labda wakifa ndyo wataacha we mtu mpaka ameenda chuo haja kua. ni baadhi ya wale watu ambao hawna ustaarbu coz eilimu ikishaitwa ya juu regardles inatolewa chuo kipi ni elimu ili iwe elimu bora inategemea na mwanafunzi mwenyewe na siyo chuo.
Pambana ndugu ndyo hali halisi hiyo. na ndyo safi ili wasomi mjifunze na mmbadilike na kuchagua chama kitakacho jali maslahi ya wananchi wao na siyo matumbo yao. CCM wametutoa mbali ila viongozi wa sasa ndyo wanaharibu chama. kama kijana utakuwa ushajua what to do kwa matunda ya baadea watakae...
daah. yaani hawa watu kweli niwasnii,kwanza ukifika pale TIDO msasani we angalia magari wanayotembea nayo, na tuliowapa ajira nisisis wasomi ingekuwa hakuna wanafunzi wa vyuovikuu leo hii wengetembelwa V8 Kweli, Ma Prado tx, so watutendee haki bwana sie watoto wa wakulima ndyo maana tukaomba...
yaani ndugu hapo ni kuingia road na mabango au kuwatokea body mikopo kabisa. wanatuzingua wengi sio ninyi tu. hata sisi IAA tunakufa na njaa tu mpka leo hakuna hata fununu kuhusu pesa za field coz sie mwaka wa tatu semister nzima tuko field na pesa inatakiwa kutoka soon ili tunapaoanza field...
karibu sana marafiki tuko wengi ila kuwa makini sana kwani marafiki haohao ndyo wanaweza wakafanya uone mjiwa Arusha nchung au mmbaya. so we weka maelezo yako moja kwa moja namaanisha mawasiliano na mahali inapoishi, au labda kama unataka marafiki wa kwenye internet to
Daah. okey ningeweza kusema sina comment ila kwa vile nimeshafungua comment area nahisi anaota tena mchna bora hata ndoto za usiku sometimes thy can come true.
kotukuaminiana wazawa wenyewe kwa wenyewe na kuwapa kipa umbele wageni kutoka nje ya Tanzania.kwa mfano HOtel nyingi za kitalii zinaongozwa na ma meneja wa Kenya haliyakuwa kuna watanzaina wengi tu wanasifa hizo za kuongoza. pamoja na wengi wetu hatujaaenda shule ila wako wachahce wenye elimu...
sure ni kweli kabisa. ila inategemea na wapandanao wenyewe. wanaweza wakayafanya yawe na fomula ila by default hayana fomula ni kitu kipo automatically. ukiona mpenzi anahitaji some kind of formular huyo siyo wako.try another one
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.