Sababu kumbwa ya ukosefu wa ajira Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu kumbwa ya ukosefu wa ajira Tanzania

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by FELIPE, Oct 16, 2011.

 1. F

  FELIPE Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Chanzo kikuu cha ukosefu wa ajira hapa nchini ni serikali yetu. Kwa mfano mimi mwaka jana nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya wachina, nilipofika pale nilishangaa sana kukuta mpishi ni mchina, secretary, HR, Accountant, mtu wa procurement, baadhi ya madereva na mainjinia wote ni wachina.

  Cha kusikitisha ni kuwa wachache sana ndo wana work permit. Kwa kipindi hicho hiyo kampuni ilikuwa inafanya miradi ya ujenzi ya serikali ya billion 102.

  Chakusikitisha ni kwamba serikali wanajua hiyo situation kwamba ni against mkataba wao wa uwekezaji lakini wameuchuna. chakusikitisha ni kwamba hata vitu vidogo kama sigara vyote wanaimport kutoka kwao, hapo sasa niambie ajira watanzania tutapata wapi?
   
 2. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Serkali ipo likizo, sasa nani amvishe paka kengele?
   
 3. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  We si ulipiga kura m2 wangu sasa........be carefull 2015 wale wa ahadi zisizotimizika piga chini.
   
 4. jipitishe

  jipitishe Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila shaka felipe we ulikuwa mfagiaji hapo maana kazi zote wamekaa wenyewe......serikali yetu inasubiri kuunda tume ya uchunguzi
   
 5. p

  prindi Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kuwa mjasiliamali ndugu kila sk utaisema serikali muda aukusubiri
   
 6. F

  FELIPE Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  hata ukiwa mjasiliamali inabidi serikali ifanye kitu kidogo, imagine nimeanzisha restaurant lakini watanzania hawana ajira unadhan watakuja kula bure? ukizingatia wanaokula kodi zetu (wachina) wanajipikia wenyewe nyoka wao.
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ujasiriamali si unaanzishwa tu bila resources bila nini yaani ukiamka tu................ingekua hivo hizi lawama zote zisingekuwepo
   
 8. f

  fredduar Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kotukuaminiana wazawa wenyewe kwa wenyewe na kuwapa kipa umbele wageni kutoka nje ya Tanzania.kwa mfano HOtel nyingi za kitalii zinaongozwa na ma meneja wa Kenya haliyakuwa kuna watanzaina wengi tu wanasifa hizo za kuongoza. pamoja na wengi wetu hatujaaenda shule ila wako wachahce wenye elimu zao wako mitaani, hii inakatisha tamaa hata kwa wale ambao hawajasoma kujiendeleza kwa bidii.
   
 9. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,390
  Likes Received: 3,719
  Trophy Points: 280
  HILI NI TATIZO KUBWA SANA KILA NYANJA HAPA NCHINI........ Nenda migodini........... kuna mtu miaka ya 2000 hadi 2006 alikuwa pale KMCL by then na hakuwa akijuwa hata kuandika jina lake.............. Nenda mahotelini........ Nenda TRENTYRE za m igodini...mziba pancha M-SA we acha....tu.. SO long as mitoto yao imejaa BOT na kwingineko basi wamnaamua kukaa kimyaaaaaaa........
   
Loading...