ndugu lumumba hapafai kabisa kitu cha 30000 per day!!!!!!!!!!. . . Mr Mzumbe??! Umepataje hilo jina kama ndo kwanza umejoin juzi juzi??! Well, incase ulizoea (huko ulikotoka) kulala peke yako, habri ndo hiyo dogo, kulala 'mtungo' 1st year kawaida sana,...hiyo issue haijaanza mwaka huu since years ago, miaka 4 sasa. . . .just share na wenzako,au kama mzazi ako yuko na pesa ndefu akupangishe Lumumba, utalala pekeyako.
weeeeeeeee afyaaaa gani unaongeleaaaaaaa tumelala udsm 99 mpaka 2002 kitanda watu wawili na wakati mwingine wanalazwa chini afya gan unaiongelea ...ungetaka chako pekeyako ungeenda kulala vya 5000 mpwa akugusi mtu
hapo nahisi utaathirika na deo maana kila ukitaka kuleta mlupo unahisi ndani kuna mtu na nje 5000 si mchezo mpwa
nafikiri hii itasaidia kuondoa ngono zembe zilizokuwa zinaongrzeka vyumbani bila akili!! Ama mkubaliane kupiga mizigo kwa pamoja nikupe njia ila usiniweke kwenye weak leak weka pazia katikati mnakula mzigo kam kawa tatizo mmoja akizidiwa unajua kuna mademu ukiwachapa vizuri wanapepo la kukimbia ovyo hapo ndipo shuguli akimfwata mwenzio na wewe chukua wake
Sasa naanza kuamini bongo chuo ni UDOM tu, vingine ni sehema ya kupatia hadhi na cheti!!Eti wale ambao siku zote wanasifia UD leo nao wanakubali kwamba wanalala watu wa 3 kitanda ki1 tena kwa kujisifu na kujiamini kabisa.
Hii ndio Tanzania,ni bora OPEN university ziongezwe kuliko haya ma-convectional learning ambyo tunayalazimisha.
Ireverse iwe the other way roundwewe ukilala na mwanaume kitanda kimoja lazima ugawe masaburi yako hayo?
Wenye akili wanaona..but kama akili yako na upeo wako ni mdogo, huwezi kuyaelewa haya mambowakati mwingine huwa najiuliza kama unafikiri kwa kutumia fore brain au hip joint(mahips)? huwa sikusomi kabisa!
halafu wewe unavyowajua wanachama wako............. siku hizi hatuiti misokoto aiseeHapa ulizidisha dozi. Dr alisema misokoto mingapi ka siku?
halafu wewe unavyowajua wanachama wako............. siku hizi hatuiti misokoto aisee
unamuuliza tu straight, mkuu umenyonga ngapi leo?? au stick ngapi tunapata??
nina cha malawi hapa, hahisi kama wameweka ina "ile kitu kavu" maana kila mtu namwona mkubwaaaa kama nyumba
watoto wa wakulima wakipata boom tu nyodo nyiiingi hadi karaha! Lione kwanza! We uliwadanganya kwenu unaishi peke yako ili mdogo wako aje kuangusha room,sasa umekoma! Ndo maana ukwenda UDSM watu kama nyie mnadisco..
Kama ulisoma day school au private hii itakupa shida,
mimi nimesoma boarding school O level na A advance mwendo ni kulala wawili,
na hapa nipo mzumbe mwaka wa kwanza na hih kitu hainisumbui brain yangu kabisa
piga msuli acha kufikiria bed utakonda kwa mawazo