Natafuta marafiki Arusha

Karibu sana....mzee wa Rula, Pakajimmy, Igwe, Sahara voice, Loner, preta, voice of reason, baba ubaya tumekupokea...weekend inayokuja tegemea mtoko kutoka kwa those frez!
Sure mkuu,..mimi atanikuta Lennanar resort bila mawaaa yoyote,....wengine week end ni get busy full
 
Huu urafiki wa kutafutana me hua sikukbali kiviile!
urafiki unatakiwa kutokea automatically. we kua na subira, kama ni kanisani/msikitini, viwanja vya michezo,
klab, ofisini, jirani zako, kwene shughuli za kiofisi n.k lazimatu utajikuta umepata marafiki.
sikupingi. ni mawazo yangutu.
 
Ni sawa lkn mwenzetu yuko board ndio maana akajitokeza tumpe campany,ok?
Huu urafiki wa kutafutana me hua sikukbali kiviile!
urafiki unatakiwa kutokea automatically. we kua na subira, kama ni kanisani/msikitini, viwanja vya michezo,
klab, ofisini, jirani zako, kwene shughuli za kiofisi n.k lazimatu utajikuta umepata marafiki.
sikupingi. ni mawazo yangutu.
 
Huu urafiki wa kutafutana me hua sikukbali kiviile!
urafiki unatakiwa kutokea automatically. we kua na subira, kama ni kanisani/msikitini, viwanja vya michezo,
klab, ofisini, jirani zako, kwene shughuli za kiofisi n.k lazimatu utajikuta umepata marafiki.
sikupingi. ni mawazo yangutu.
acha kufundisha watu jinsi ya kuishi,...kama wewe haupendi wengine mbona tunaona poa,..na tuna marafiki tumewapata kwa njia hii na wako fresh,..........
 
hao waliotajwa pia ni wachache.....tupo lundo la kutosha....achague yoyote kati ya hao amPM....atampa maelezo yote.....karibu sana

Wamesahau kuniweka kwenye listi ila dada tuna ku-welcome saaana jisikie uko home kabisa. Watu wa arusha ni wakarimu uatapata mwaliko rasmi na appointment zitakuwa nyingi mpaka ushindwe mwenyewe
 
karibu sana marafiki tuko wengi ila kuwa makini sana kwani marafiki haohao ndyo wanaweza wakafanya uone mjiwa Arusha nchung au mmbaya. so we weka maelezo yako moja kwa moja namaanisha mawasiliano na mahali inapoishi, au labda kama unataka marafiki wa kwenye internet to
 
Nwaigwe.

Unapendelea kinywaji gani ?.

Habari zenu.
Nina wiki ya tatu sasa kwenye huu mji wa watu, nimehamishiwa hapa kikazi mgeni na sina marafiki. Kwangu mimi marafiki wanathamani ya pekee katika maisha yangu.Nawakaribisha wote, wa kike na wakiume, mimi ni msichana mchangamfu na napenda marafiki.Tafadhali ni PM kama unania.
 
Babaubaya acha hizo hao wote uliowataja balozi wao ni Ngongo.

Karibu sana....mzee wa Rula, Pakajimmy, Igwe, Sahara voice, Loner, preta, voice of reason, baba ubaya tumekupokea...weekend inayokuja tegemea mtoko kutoka kwa those frez!
 
mkuu huwa nahisi uko pande za mbeya kumbe uko hapa chugga!
yeah man!...home mby lakn kwa sasa niko hapa a town,..maeneo ya stand ya vifodi nabrash viatu hapo kiongozi wangu,..ila w/end nakula bata sehemu hizo pamoja na zingine zinazofanana na hizo
 
karibu sana arusha,hata mimi nimeshangaa arusha imejaa wanamemba namna hii?
natamani wote kuwajua natamani kuwe na bonge la pati tujuane ili akitokea mjeni kama huyu tuweze kumkaribisha.
mimi niliingia kimyakimya nina karibu miezi mnne.
karibu vichwa vyote vinatokea atown?
nitakupm,ila kma kuna ambaye yuko interested na mimi ruksa kuni pm.
 
Karibu mpenzi mimi niko maeneo ya Soweto garden. Ukiwa Mianzini au round about ya Florida ni Pm ntakuja kukuchukua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom