Heslb ipo kwa ajili ya wanafunzi au kwa ajili ya baadhi ya wanafunzi?

aseenga

Senior Member
Jul 13, 2011
106
86
inashangaza sana kuona watu waliosomeshwa na serekali wanasema uongo. jambo hili limetokea kwa mkurugenzi wa loans body,baada ya kuutangazia uma kwamba wanafunzi wote walochaguliwa ktk raund ya pili na zilizofuatia kujiunga na elimu ya juu kuwa wote waliarifiwa hawatpewa mikopo, jambo ambalo c la kweli. walichocctiza ni kwamba wanafunzi wote waende chuoni wakaombee mikopo huko. SASA INAVYOONEKANA WAMETUSALITI.
 
Kilicho baki ni kudai kodi zetu kwanguvu uzoefu wa nchi yangu lazima upambane kudai haki yako. ukilala utaambulia mchakato unaendelea.pole sana
 
Kaka cha kukushauri huu mwaka jipange ujilipie ada na gharama nyingine,halafu mwakani uombe tena mkopo.
Hili likishindikana basi huu mwaka wa masomo 2011/2012 ghaili kusoma halafu jisaili mwakani.
 
Tupeane pole! Hata nil apply kwenye first round na mkopo niliomba. Mi nashindwa kuelewa kuwa walio taalifiwa ni new applicants au na sisi? We uko chuo gan? Mi nko SAUT TABORA. Ingewezekana kuhama nchi mi ningehamia rwanda.
 
inashangaza sana kuona watu waliosomeshwa na serekali wanasema uongo. jambo hili limetokea kwa mkurugenzi wa loans body,baada ya kuutangazia uma kwamba wanafunzi wote walochaguliwa ktk raund ya pili na zilizofuatia kujiunga na elimu ya juu kuwa wote waliarifiwa hawatpewa mikopo, jambo ambalo c la kweli. walichocctiza ni kwamba wanafunzi wote waende chuoni wakaombee mikopo huko. SASA INAVYOONEKANA WAMETUSALITI.
yani kaka hao jamaa mimi pia wametibua tu waliposema uongo
 
Kwa hili ameudanganya uma wa watanzia inabidi wajipange. Ni waz kwamba maombi ya awamu ya pili kwa walokosa udahil wa awamu ya kwanza yaliruhusiwa kabla hata TCU hawajapeleka majna ya walodahiliwa awamu ya kwanza HESLB sa ii taarifa inakuja vp hapa angalau kwa hawa wa awamu ya ndo walopewa taarifa. Njia ya muongo fupi mwisho utafika nadhani hatuhitaji kuendelea kuwa na watendaji wabovu kama hawa.
 
ndg waliotusaliti ni utawala wa vyuo vyetu walitoa habari za kizandiki kwenye tume iliyoundwa kuchunguza namna ya utoaji mikopo na wana wivu sana wanafikiri kuwa hela ya kula tunayopewa na bodi tunafaidi sana hata mimi mwenyewe nimekosa na sijui wabunge wetu wanasemaje na bodi imefanya hivyo baada ya kuona bunge limeahirishwa lakini kumbuka kuwa bajeti ilipita na hakukuwepo na malalamiko kuwa bajeti ni pungufu kawambo ametusaliti watanzania na anataka tufanane na wakwere wa kwao ambao hawataki shule kazi yao kuu ni ngoma tu.
 
daah. yaani hawa watu kweli niwasnii,kwanza ukifika pale TIDO msasani we angalia magari wanayotembea nayo, na tuliowapa ajira nisisis wasomi ingekuwa hakuna wanafunzi wa vyuovikuu leo hii wengetembelwa V8 Kweli, Ma Prado tx, so watutendee haki bwana sie watoto wa wakulima ndyo maana tukaomba mikopo ili tuweze kujikomboa kwenyw huuu umasikini uliokithiri. iko siku tutagoma vyuo vyote tz ndyo watakapo kimbia hizi ofisi
 
Back
Top Bottom