Recent content by Frankness

  1. F

    Naomba msaada wa kisheria

    afungue kesi mahakamanni na tena aombe injuction order ya haraka iwezekanavyo ili mahakama iingilie kati hilo swala na wamuamuru baba yako kuacha anayoyafanya mpka mahakama itakapofikia uamuzi..
  2. F

    Kwa wadada wa chuo natoa dozi

    hhahhaahahaa.....great words..bet wamelipata wahusika
  3. F

    List of prestige universities in tanzania.

    1.kwa maneno mengine vyuo vya public ndo vnatoa quality education???kwa maana ndo vipo kwenye list hapo. 2. tunaomba source ya information yao..
  4. F

    ndio mara ya kwanza kuenda polisi

    wahi mahakamni ukatafute haki yako jombaaaaaa.....achana na njaa ndogondgo za mapolisi...kosa la jinai nenda polisi,madai mahakamni....
  5. F

    Hili Lingekuwa Kwa Polisi Wetu Halina Kwere(Query)

    naona kama most of you hamjamuelewwa mtoa mada...hoja yake ni kuhusu haya mauaji ya raia yanayofanywa na polisi lakini hawachukuliwi hatua yoyote,ndo akauliza wadau mnaonaje ukilinganisha na hyo incident ya s. africa????( correct me if am wrong though ) no one is above the law, yes, lakini...
  6. F

    Binti anapouona utupu wa baba yake . . . . !!

    laana kwa kitu ambacho hakijakusudiwa?????hamnaga ktu kama hiko...binti hana kosa, sanasana amrekebishe huyo bi mkubwa jirani asijetenganisha familia yao bureee...
  7. F

    Hakika Tuache Kupeana Mikono Tunaposalimiana-Yamenikuta

    mweeeeeeeeeee......mtoa mada ushantisha sasa...daaah...binadamu wa sikuhzi sijui wanaelekea wapi...hawakukuibia kitu kweli?ukute ndo njia yao mpya ya kuiba........???pole sana aiseee...
  8. F

    Tanzania International University,,,unakijua hiki CHUO???

    nilikuwa najaribu kupitia list ya vyuo vilivyoorodheshwa na TCU baada ya kusoma status yako...hiko chuo hakipo....labda ndo wanataka kukiestablish...heheee....though ni vizuri kama bongo itakua na vyuo vingi vya kutosha, ila viwe vmesajiliwa na kutoa elimu nzuri..
  9. F

    Safari ni ndefu. Angalia Barua hii

    hahhahhaaa.jamaa gani wa clouds huyo????maana kituo kina watu wana mbwembwe balaaa....
  10. F

    Safari ni ndefu. Angalia Barua hii

    hmmm....mnaweza msiamin ila hadi chuo kikuu,maprofessor wanalalamika wanafunzi hawawezi kujieleza.....hyo barua kweli ni kielelezo tosha.....elimu ya tanzaniz inahitaji major reforms.....ila sijui zitakujaje kama waziri wa elimu mwenywe anasema Tanzania ilikuwa ni mjumuisho wa Tanganyika na...
  11. F

    msaada rafikiye wife

    acha mazoea nae, kuwa busy na mambo yako, usimpe nafasi kwa kuongea nae usiku au kumjibu txs zake...ignore that chick if you have true intentions with your wife....
  12. F

    msaada rafikiye wife

    mweeeee...kuna wanawake wengine hawaelewi especially kama huyo mwanadada akiwa na intention na huyo mwanakaka....
  13. F

    Hebu soma notice board kuna tangazo muhimu.

    kama kuna anaeelewa tafsiri yake jamani atusaidie ukute tunachekelea ujenzi kumbe barua ya mapenzi............
  14. F

    wanaume tufanye nini au jitihada gani kuwarudisha kundini awa jamaaaa?

    kwakweli hao wanahitaji maombi na kushauriwa kisakolojia, wengine ni makundi tu yanawaharibu, ni wachache ambao hormones zao znawafanya wawe hvyo...
Back
Top Bottom