msaada rafikiye wife

msaada rafikiye wife

Mchunguze mkeo maana ndege wa aina moja huruka kundi moja....eti rafiki yangu amtake mume wangu afu nimpe tahadhari hubby badala ya kumpa za uso rafiki; haiingii akilini....chunguza mkeo kaka isije kuwa na yeye ni mule mule.
 
Sioni kama kuna sababu ya kuogopa kupokea simu. Ila unaweza kufanya haya yafuatayo:

1. Acha kabisa tabia za utani na yeye
2. Mkataze kupiga simu usiku
3. Akikupigia simu na kuanza mambo yake mwambie wazi kuwa wewe ni mume wa mtu na huna mpango wa kuwa na mahusiano nje ya ndoa kwa namna yeyote ile. Mpe makavu. Na kama ataendelea utaacha kupokea simu zake na pia utatoa taarifa kwa mkeo ambaye ni rafiki yake.

Mwanaume hupaswi kuwa muoga muoga, simu yako halafu unaogopa kupokea? Fikiria, ukiacha kupokea halafu akatumia simu ya mtu mwingine, ukipokea utakata? Au utajibu nini? Akina dada wanaweza kutumia technique hii ya kuacha kupokea simu ila kwa wewe kaka, no! Huu ni mtazamo wangu binafsi!
mweeeee...kuna wanawake wengine hawaelewi especially kama huyo mwanadada akiwa na intention na huyo mwanakaka....
 
acha mazoea nae, kuwa busy na mambo yako, usimpe nafasi kwa kuongea nae usiku au kumjibu txs zake...ignore that chick if you have true intentions with your wife....
 
Mchunguze mkeo maana ndege wa aina moja huruka kundi moja....eti rafiki yangu amtake mume wangu afu nimpe tahadhari hubby badala ya kumpa za uso rafiki; haiingii akilini....chunguza mkeo kaka isije kuwa na yeye ni mule mule.

Du hapa unamtisha kabisaaa
 
Nyeeeee, hili nalo linahitaji ushauri?
 
Back
Top Bottom