ZABRONE JUSTINE
Senior Member
- May 19, 2013
- 122
- 23
Jembe wape hata cc huku wanatuletea majanga hata darasan mana hawako serious lakn wanataka makc,wape zao papaaa!
now you are talking rafiki.......hahahahaha! nimecheka hadi basi manake mtu ukiwa unadaiwa bana hata kama mtu anakupigia kukusalimu utaanza kujishauri kupokea simu as utadhan anakumbushia deni lake lol!
sas aunaona nilivyo changanya madawa hapa?? lugha gongana kama babeli leta cement unapeleka sepeto mweeeh!
haya ngoja kwanza nitaanza kuziforwad ili ufurah sawa rafiki??
ha haaa, hivi hapa nilimsahauje Nyamayao naye aje ajifurahie na misemo huku!Aaah kweli amesema kuedit sasa nimemuelewa lol . Kumbe imemsaidia kidogo kuonekana wa sasa ok. Haya mabo ya kusoma huku unaangua kicheko we acha tu. Hapa bado nacheka jinsi HorsePower anavyonyambua jasho la uhuru wakati mtu anapiga kwata kwenye ardhi iliyojaa vumbi.
Anasema tu huyo, but ukimsoma he not impartial. so full of ressentiment kwa watu wazima!Mwali mpendwa, haya soma hapo nadhani utaelewa kwa nini niliandika kuwa huyu jamaa afunda mabinti...
my friend thanks a lot.now you are talking rafiki.......
na mimi nilijua hivyo, ila umesamehewa maana najua kwa sasa lazima michanganyo iwepo, ila kool down, you will make it
yaani mimi nilivyocheka nikaona niite na marafiki waje wacheke pia... si unajua kucheka ni afya!FP aksante kwa kuniita maana ningecheka wapi? Eti harufu ya uhuru jamani
mama yangu tumbo langu mie.........
hapo kwenye RED ndo nimetamani kuzimia, lol!
jamani njooni mcheke huku
cc cacico snowhite dada white Mamndenyi Ablessed mwaJ gfsonwin amu Kaunga Nivea Mwali AshaDii King'asti Kongosho FirstLady1 MwanajamiiOne Dena Amsi.....
Arushaone, watu8, Asprin, BAK, Nyani Ngabu, Erickb52, Baba_Enock, The Boss, Dark City, Bishanga, Mtambuzi, kiwatengu, Mr Rocky, C6 Excellent, Baba V,zumbemkuu, Filipo, Bujibuji, manoah, Mungi, Young Master, sosoliso, Blaine, bombom, CPU, figganigga, HorsePower, Jiwe Linaloishi, Kapalampya, Mkusa, Ndibalema, Nicas Mtei, Mwakalinga Y. R, puravida, saudari, WABUSH, The Finest, Vin Diesel Kaizer
Anasema tu huyo, but ukimsoma he not impartial. so full of ressentiment kwa watu wazima!
kama sio from personal experience kwanini suala la miaka ya wanaume kalivalia njuga?
uwii mbavu zangu jamani
''jasho analotoa lina harufu ya sikukuu ya uhuru ya mwaka 1961''
eti wamwekee Microsoft Excell usoni.
Jamani we mwekundu mwanaume hasifiwi sura mwanaume anasifiwa kudeposit hela bank.
Mkifuhishwaji hamkawii kuwapenda kimapenziyaani mimi hapa tumbo langu chali kwa kucheka, lol!
mtu ana maneno huyu balaa
kuna uzi wa Sangarara wa tuheshimiane humu mmu, umeuona?Mkifuhishwaji hamkawii kuwapenda kimapenzi