Naomba msaada wa kisheria

Ren g

Member
Mar 27, 2013
18
0
Baba yangu amemteketeza mama yangu na kwa sasa anauza mali za familia kuna shamba la hekali 400 linataka kuuzwa je mama achukue hatua gani kisheria kuepusha uuzaji wa ilo eneo? Na vile vile yupo tayari kutengana nae ili nae afaidike na mali waliochuma pamoja hatua za kisheria tafadhari wadau
 
Mapondela

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
456
195
Baba yangu amemteketeza mama yangu na kwa sasa anauza mali za familia kuna shamba la hekali 400 linataka kuuzwa je mama achukue hatua gani kisheria kuepusha uuzaji wa ilo eneo? Na vile vile yupo tayari kutengana nae ili nae afaidike na mali waliochuma pamoja hatua za kisheria tafadhari wadau
muambie aende tamwa watamsaidia. Afanye haraka
 
Frankness

Member
Aug 24, 2011
66
0
afungue kesi mahakamanni na tena aombe injuction order ya haraka iwezekanavyo ili mahakama iingilie kati hilo swala na wamuamuru baba yako kuacha anayoyafanya mpka mahakama itakapofikia uamuzi..
 
Top Bottom