Recent content by FOE

  1. F

    JamiiForums Tanzania Oyaa!! - Usionyeshe Salary Slip Yako!

    Hata mimi aisee,yaani kama shori ananipiga mizinga najiona very secure na mali zangu kuliko yule anaejitia kila kitu anafanya mwenyewe.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    Acheni hizo story zenu za Nsibirwa na Lumumba. Tupeni hoja za huyo jamaa wa Ludewa hapa.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    "SHEREHE za kusimikwa kwa Kamanda mpya wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CC), Bw. Deo Filikunjombe zilitikisa mji wa Ludewa mkoani Iringa baada ya wana CCM kutoka kata zote 22 za wilaya hiyo kushiriki huku wakiwa na furaha kubwa. Shamrashamra hizo zilipambwa na wanaCCM waliokuwa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

    Huyo usijekuta kishawahi kumegwa na hilo dingi sasa kapata dogo mwenye kisu pia kwa hiyo anamwona babu dingi wa watu kama mkosi tu.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

    Upo makini mkuu,nimekukubali kwa kuongea ukweli.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

    Kwenye bold hapo. Nimecheka sana...hahahaha
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

    Ndio hivyo sasa tutakuja kuzipata wakati tushakua na umri kama wa huyo jamaa anaeambiwa ""we ujana uanze na nani uzee umalize na mie""
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

    Kama kweli alikusudia kusema hivyo basi vijana neema itakuja upande wetu. Ila wanawake wengi mkuu wanataka wanaume ambao eti wenyewe wanasema wako stable ktk maisha. Sasa mpaka mtu anapokua stable inamaanisha ujana ushaisha ndio anafikia stage hiyo ya kuelekea uzeeni. Vijana wenzao hatuwezi...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Scientist who masters the Queen`s language

    "Although Professor Hoseah Kayumbo’s primary task is to teach Biology and related subjects at the University of Dar es Salaam, he and his colleagues have taken the added task of improving the quality of English writing skills of biology students they teach. According to him, the standard of...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Inapendeza zaidi kama...

    Hiyo naikubali, kama dada unajiheshimu jianaume litakujaje tu na kuanza kukupa buku 10? Lazima jamaa aliona hao madada wamekaa mkao wa kupokeapokea hela za wanaume ndio maana akawapa,nao bila aibu wanachukua tu. I'm afraid wakiwa broke hudiriki hata kumbip kumwomba hela. Tupo bongo bana,twayajua...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Chama Kipya: New York Metropolitan Tanzanians Community

    Tatizo la watu kama hawa na wengine wanaojipenyeza kupata connections za ubalozi wanapenda sana kujitia kuanzisha vitu vya waTZ waishio nje wakati lengo ni kujinufaisha wenyewe binafsi. Cheap popularity ndizo zinazowafanya waongee hata vitu visivyokua na mshiko. Wanafikiri mawazo yao tu ndio...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Inapendeza zaidi kama...

    Itapendeza kama hao waliokua wakila hizo buku 10 za mshikaji wakamtafuta awamege ili kukamilisha nia yake kwao. Itapendeza wakishamegwa waje waseme hapa tujue mission accomplished!
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini waalimu wanadharaulika?

    Hivi wenzetu waalimu pia wanatakiwa kulipa ada? ndio ipi hiyo mkuu? I'm ignorant of that.
  14. F

    JamiiForums Tanzania I am sorry mabinti wa kichagga

    Nami nimekubwa na mkasa huu. Yaani utafikiri nilikusimulia kisa changu ukakileta hapa. Kazi kwelikweli!!!
  15. F

    JamiiForums Tanzania Msomi ashauri kufuta cheo cha DC kuokoa gharama

    Dk. Kessy (udsm)amesema mfumo unaosababisha wingi wa vyeo katika halmashauri za wilaya, unaongeza gharama na kusababisha matatizo kati ya viongozi na watendaji. Alitoa mfano wa nafasi hizo kuwa ni Mkuu wa wilaya (DC) na Mwenyekiti wa halmashauri, na kwamba utekelezaji wa majukumu yao ungeweza...
Back
Top Bottom