Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

sijakasirika jamani BAK, afu hapo kwenye red ni nini maana yake??

point nlokua najaribu kuchora hapo ni kwamba wadada wengi siku hiz ni wachapa kazi...we are real struggling na hatupendi kuwa dependant.....
so hijalishi mie mi ni tawi au mzizi, napambana kike and I am standing tall for that....
of course i can understand that,thats the girl im looking for,videmu vya mizinga vinachosha sana.
 
Mtafutaji hachoki aisee.......akichoka ujue kakipata alichokuwa akitafuta
hivi waweza pata mwenza online?kama hapa JF?mi bado siamini kama yawezekana hapa.AK 47juzi juzi eti kaopoa hapa sijui kweli au walikua wanatupiga changa.
 
of course i can understand that,thats the girl im looking for,videmu vya mizinga vinachosha sana.

ndo maana nikasema na nyie mnajichongeaga misalaba yenu kwa hiyo hamna budi kuibeba
 
he he hee,mzee huchezi mbali,unakaba hadi golini,kwema lakini??

hahaaaa, thats hw one can tell hw good her man is......wat else do I need!!! money? NO....hizo tunazitafuta wote
usijali ni wajibu wake.....nampendea mengi weee acha tu!!!!
 
ndo maana nikasema na nyie mnajichongeaga misalaba yenu kwa hiyo hamna budi kuibeba
nilishabeba hilo salaba nilivyolitua pfuuuu,sitaki hata kukumbuka,mungu jaalia alhamdulilah mambo si mabaya.
 
hivi waweza pata mwenza online?kama hapa JF?mi bado siamini kama yawezekana hapa.AK 47juzi juzi eti kaopoa hapa sijui kweli au walikua wanatupiga changa.

AK47 dared!!
you should dare too....huo ndo ujasiri baba!!!
 
kueleweka ndivyo sivyo nilikuona.......

hivi kwani waichana wote mnaotongoza wanataka pesa?
wangapi wanawatolea nje wazee na pesa zao? (ujana ulikula na nani uzee ule na mie?)

cant you read people you tongoza bana aaaah!!! na bado.....mtaipata!!

Najua sio wote bht, lkn asilimia kubwa ya wadada these days kwanza lazima uwe na mkoko, home kwako kiwe ki apartment kilichoshiba, otherwise utakuwa mtu wa kupewa mchezo kwa calender lkn mizinga kibao. siku hizi demu aanakuwa na Mtu wa kutoka naye outing, wa kwenda naye shopping, halafu kunakuwa na mjinga mjinga fulani tu huyo anamega bure muda wowote anahudumiwa na pesa za hawa wengine huyo sasa ndo MKUNAJI mwenyewe hawa wengine ni kibiashara zaidi
 
Wanaelewa sana ila wabishi tu, sijui kwa nini.

Ukisema uanze naye hana kitu,baadae akizipata tu anatimua, so why the suffer??

"Go get the monies na mrudi mpate mtakacho" by bht-JF

Kwenye bold hapo.
Nimecheka sana...hahahaha
 
Najua sio wote bht, lkn asilimia kubwa ya wadada these days kwanza lazima uwe na mkoko, home kwako kiwe ki apartment kilichoshiba, otherwise utakuwa mtu wa kupewa mchezo kwa calender lkn mizinga kibao. siku hizi demu aanakuwa na Mtu wa kutoka naye outing, wa kwenda naye shopping, halafu kunakuwa na mjinga mjinga fulani tu huyo anamega bure muda wowote anahudumiwa na pesa za hawa wengine huyo sasa ndo MKUNAJI mwenyewe hawa wengine ni kibiashara zaidi

hapo kwenye red nani ata-sympathize na wewe kwenye ujinga wak wa kupigwa mizinga voluntarily???

the bolded blue.....siishi kushangaa maajabu na vibweka vya haya maisha.

my dignity and decence is the priority......ya nini niupe tabu mwili wangu (amabao apparently una aminika kuwa hekalu)

I will never ever do such a thing to this body that I value most....and The Almigthy God help me!!!
 
of course i can understand that,thats the girl im looking for,videmu vya mizinga vinachosha sana.

Kwani, kama vinakupiga mizinga na vinakupa/unapata utakacho, shida iki wapi jamani?????

Acheni kulalamika saana, go with the wind ebo!
 
It all depends on what you want and need, For a chick kama unataka true love kuna majamaa kibao; sema usibague kwasababu mfukoni hana fedha, u dont know plans zake so u dont know what you could be missing.

Hiyo Kauli ya tafute hela halafu ndiyo utafute mademu ni Garbage (taka taka tupu) Ukitaka mademu wewe just be confident and develop your game (Utawakimbia mwenyewe!) Ukweli ni kwamba hata mademu wanao nyonya mishiko kwa vizee wanataka gud times na machizi! (lazima utakuta kuna chizi linalompagawisha daily linanunuliwa pamba, misosi, mitungi yet chizi ana-show up na tarimbo tuu)...

Truth b told ni kwamba kuna mademu wengi mno ku generalize kwamba wako hivi au hivyo... Ukitaka kuparuliwa wapo, Ukitaka ma-romance na love wako, Ukitaka mwangaikaji nawo wapo and same goes for Guys....So it depends on what you want.

Personally anybody who has to use money to get love or sex is pathetic and somebody who needs to be given money in exchange for their love or sex is also sad and pathetic... Lakini we are not complaing.... As they say different strokes for different folks!
 
Kwani, kama vinakupiga mizinga na vinakupa/unapata utakacho, shida iki wapi jamani?????

Acheni kulalamika saana, go with the wind ebo!

nashangaaa, wenyewe wamejitoa muhanga......tena mchune mpaka mbaki mishipa na mifupa.....dayyyyyyyyyyyym!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom