Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

It all depends on what you want and need, For a chick kama unataka true love kuna majamaa kibao; sema usibague kwasababu mfukoni hana fedha, u dont know plans zake so u dont know what you could be missing.

Hiyo Kauli ya tafute hela halafu ndiyo utafute mademu ni Garbage (taka taka tupu) Ukitaka mademu wewe just be confident and develop your game (Utawakimbia mwenyewe!) Ukweli ni kwamba hata mademu wanao nyonya mishiko kwa vizee wanataka gud times na machizi! (lazima utakuta kuna chizi linalompagawisha daily linanunuliwa pamba, misosi, mitungi yet chizi ana-show up na tarimbo tuu)...

Truth b told ni kwamba kuna mademu wengi mno ku generalize kwamba wako hivi au hivyo... Ukitaka kuparuliwa wapo, Ukitaka ma-romance na love wako, Ukitaka mwangaikaji nawo wapo and same goes for Guys....So it depends on what you want.

Personally anybody who has to use money to get love or sex is pathetic and somebody who needs to be given money in exchange for their love or sex is also sad and pathetic... Lakini we are not complaing.... As they say different strokes for different folks!

well said CEJ!!
 
ila huyo dada alikuwa tofauti kiukweli kama sikosei yuko vere commited ..kina dada wanavyotafuta mabuzi ya kuchuna kwa kasi ya ajabu...na ki Prado kimepaki hapo bado akamtolea uvivu ...
Mfano wa kuigwa
 
Huyo usijekuta kishawahi kumegwa na hilo dingi sasa kapata dogo mwenye kisu pia kwa hiyo anamwona babu dingi wa watu kama mkosi tu.
 
Cha muhimu ni mapenzi kaka haijalishi mzee ama kijana, kama mnapendana basi hilo ndio la muhimu! Pesa ni kitu cha kupita tena kina wakati ni za msimu, hata ule wa kukosa mvua ni afadhali, kwahiyo si muhimu! Mtu akiwa mzee mashine itakuwa nzima tuu!
 
Huyo usijekuta kishawahi kumegwa na hilo dingi sasa kapata dogo mwenye kisu pia kwa hiyo anamwona babu dingi wa watu kama mkosi tu.

Innawezekana kabisa.

Au vile ilikuwa kwenye Public binti akaamua kujishebedua, ooh sijui nini na nini, ujana wako umekula na nani, blah blah blah. Ataenda kumuomba radhi baadae huyo, si lolote.

Au dingi/Babu kafulia nini? Labda alikuwa nazo zile za pensheni/kiinua mgongo, binti kazikomba zimeisha anakimbia kulea, hahahahah. Kaaazi kweli kweli.

Age 'aint nothing bwana lol.
 
hivi lizy si ukijua chanzo cha tatizo ndio unaenda kupambana na kile chanzo ili uue tatizo jamani?

sasa wanalalama tuuuu oooh sisi hamtutaki mantaka wazee wenye pesa oooh sijui nini...
dont waste time...go get them monies na mrudi mpate mtakacho.....[/QUOTE]

Mtaishia kuchafuliwa chafuliwa tuu tuuuuuu tuuuuuuu!!!......lol?🙁
 
duh!,kweli no money no love..kwa style hii wazee wataendelea ku-win!!

no money no honey....hahaaaaaa
lakini si manyataka wenyewe jamani.....hamchunguzi sawasawa, mnakurupuka tu!!!
 
hivi lizy si ukijua chanzo cha tatizo ndio unaenda kupambana na kile chanzo ili uue tatizo jamani?

sasa wanalalama tuuuu oooh sisi hamtutaki mantaka wazee wenye pesa oooh sijui nini...
dont waste time...go get them monies na mrudi mpate mtakacho.....[/QUOTE]

Mtaishia kuchafuliwa chafuliwa tuu tuuuuuu tuuuuuuu!!!......lol?🙁

kumbe nyie mna uchafu eeeh!!!
 
🙁🙁🙁...............
 
Correction................'Kuchafuana'.
 
nashangaaa, wenyewe wamejitoa muhanga......tena mchune mpaka mbaki mishipa na mifupa.....dayyyyyyyyyyyym!!![/QUOTE]

Mhhhhhh!!!!!!!!!🙂🙂🙂
he hee,mkuu kitanzi chako hicho usigune,unavaa mwenyewe kama cheni saafi ya gold ngoja ianze kubana shingo.
icon10.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom