Itapendeza zaidi kama tukipitia upya mila na sheria zetu.
Mzizi wa fitina wa tatizo la tegemezi la kiuchumi la mwanamke kwa mwanamme umechimbiwa kwenye sheria:
It shall be the duty of every husband to maintain his wife or wives and to provide them with such accommodation, clothing and food as may be reasonable having regard to his means and station in life! (Section 63 (a), Law of Marriage Act, No. 5/1971, Chapter 29 of Laws of Tanzania, R.E. 2002)
Sasa kwa nini nisianze kujifunza na kuzoea kuchunwa vocha za Tigo kama siku za usoni nitategemewa kisheria nije kununua mavazi yake, chakula, malazi, usafiri, vipodozi na viyoyozi?
Na kabla sijamtwaa kumfanya wangu mwenyewe, italazimu kwa sheria za kimila nimnunue kwa bride price ya mbuzi, sungura, ngombe, laki kadhaa, bata na kanga ndege na kanga nguo kwa wakwe. Ndio mila, ndio sheria.
Potofu, za kale; Zinazofanya wanaume wengine walazimishe baadae kulipwa tigo zao! Si kamnunua? Ukinunua nyumba kuna chumba unaambiwa usende si chako?
Na wanasema, wakungwi na manyakanga wasema, ukishamnunua kwa bride price, haruhusiwi kulala amejisitiri!