I am sorry mabinti wa kichagga

Status
Not open for further replies.
Nami nimekubwa na mkasa huu. Yaani utafikiri nilikusimulia kisa changu ukakileta hapa. Kazi kwelikweli!!!
 
Mbali na hizo tabia zao za kuweka kitu kidogo mbele, tukija kwa urembo sio siri wengi wao wamejaliwa. Nilikuwaga na mmoja sio siri tulikuwa tukionganza nilikuwa naonekana ni kidume kweli kweli. Ile rangi yao ya chungwa na miguu ya bia wacha mazee.. utaendelea kuagiza tu mhudumu leta kilimanjaro nyingine...kuja kushtuka dah.. kamshahara ndio kameshakwisha..
 
Hiyo ni generalization sana...siyo kweli ...my wife ni mchaga, my mother ni mchagga sijaona tatizo for years acheni blablah...tabia mbaya ni mtu wala si kabila...umbea mtupu
Nakubaliana na wewe generalisation sio proper. Lakini sasa, wewe huwezi kutoa judgement nzuri kwa sababu mama na mke ni wachaga. Maana kama umekulia ndani ya mfumo na unaishi humo huwezi kuona nje ya BOX.
 
Nakubaliana na wewe generalisation sio proper. Lakini sasa, wewe huwezi kutoa judgement nzuri kwa sababu mama na mke ni wachaga. Maana kama umekulia ndani ya mfumo na unaishi humo huwezi kuona nje ya BOX.
Ngoja niwaache nisome kutoka kwa wengine...you are right I might be biased!
 
Wasukuma, Wamasai, Wanyamwezi.

Ondoa Wamasai, nao wanalala kama Magogo........ Unafahamu ile story ya Masaai na mwanamke wa Kimakonde? Mmasai alipelekwa mputamputa hadi akachachamaa na kutoa cheche.....

Huyu Kasyabone si mtu wa Rungwe? Ni homeboy na Mwakyembe....... sasa anashambulia Wachaga wakati Mwakyembe kaowa Mchaga? Kijana ukirudi kwenu hutapikiwa Ugali na shemeji yako wa Kichaga.
 
Yanayosemwa kwa mabinti wa kichaga mimi nimeyashuhudia,Kuna binti wa kichaga niliamua kumuachia mwanaume baada ya kujilengesha mimba ya aliyekuwa jamaa yangu. Nikaona hata jamaa mwenyewe **** vilevile nikawaacha waangaike wenyewe, jamaa nasikia mambo mzobe mzobe toka kwa huyo binti.. yaani anampelekesha hakuna mfano.
 
Nasikia pia hawa mabinti wa kichaga hata kwenye mambo ya ndani (mapenzi) huwa sio wachangamfu kidogo, huwa wanakuachia tu mzee unahangaika peke yako, je mwenye ukweli au habari sahihi juu ya hili jamani auweke hapa.
 
:confused:DAM Shit!>.........Hii JF isitumike kuwasilisha hisia binafsi za watu,......masuala ya tabia hayapimwi kwa ulinganifu ni mchakato mrefu ambao una njia mbili, ukiona mkeo au kama hivi (demu)wako anakwenda kinyume hebu jichunguze pia na wewe unatabia gani.....na ulikuwa unataka nini kwa huyo unayemwona leo ana tabia mbaya...., Je unaanza kuhsuiana nae baada ya kufanya uchunguzi uka "balance" shopping lists zako au ulikurupuka tu kwa sura yake iliyokufanya uvutike (manake wa kabila hilo wengi wana sura za kuwaka!)?. Unapofikia kutumia vigezo vya kumwacha mwenzi kwa rejea (reference) ya jirani au rafiki yako, kisomi unachukuliwa kuwa ulikuwa na "passived decision" ambayo hata kama ungeishi kwa muda mrefu kiasi gani bado uwamuzi wako wa kumwacha ungekuwa pale pale na siku zote ungeishi nae kwa kumtega ili atumbukie kwenye kigezo ambayo ungekuja kukiharaliksha kuwa "SABABU". Hivi ndivyo inavyoonekana ........mabinti wa kichanga wanaonekana hawafai kisa rafiki aliniambia......(where is ur personal reasoning for that conclusion?????)

Usijaribu kutumia "sampuli" moja au mbili kuhalalisha utafiti wako, utafiti ni kazi ya usomi inatoa majibu yenye "ueredi" (professionalism) na pia yenye changamoto za kisomi (Critical thinking). Unaposema wanawake wa sehemu fulani wanatabia fulani, uangalie wewe mwenyewe unatokea wapi, na uweze kusema mimi ni kabila fulani wakati umezaliwa na kukuta wazazi wako (huyo unayemwita baba na Mama) wakiongea lugha hivyo.....una uhakika gani wewe ni wa kabila hilo?...pengine mzazi wako wa kike (Mama) ndo anaijua siri yako zaidi....uliza!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yanayosemwa kwa mabinti wa kichaga mimi nimeyashuhudia,Kuna binti wa kichaga niliamua kumuachia mwanaume baada ya kujilengesha mimba ya aliyekuwa jamaa yangu. Nikaona hata jamaa mwenyewe **** vilevile nikawaacha waangaike wenyewe, jamaa nasikia mambo mzobe mzobe toka kwa huyo binti.. yaani anampelekesha hakuna mfano.

Pole we!! Huyo jamaa wako atanyonywaaaaa akija kushtuka, mdada wa kichaga ameshajijenga kwao.
 
Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii. kuna jamaa rafiki yangu sana anamchumba wake ni mchaga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichaga sio wa kuoa. kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. na wanatumia mapenzi kama fimbo. sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. sasa nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachaga ndoa zikoje?

Wanawake wa makabila yote ya Tanzania baadhi yao wanafanya haya haya, lakini hawaonekani, lakini ngoja afanye mwanamke wa Kichagga mnaanza kupiga blah blah zenu zisizokuwa na kichwa wala miguu. Hivi katika makabila 120 ya Tanzania wanawake wenye tabia hizi ni Wachagga tu na makabila mengine 119 yaliyobaki wanawake wao hawana tabia kama hizi!? Acheni hizo za kulishambulia kabila la Kichagga kila kukicha.
 
watu wawili kamwe hawataweza kutoa generalization ya namna yoyote kwa kabila lenye watu wengi kama wachaga. Labda ulikumbana na hao mabinti wawili na kwa bahati tu wakawa na hizo tabia.Hivyo basi hatuwezi kuwapatia wachaga wote sifa hizo. Na kwanza weka wazi sifa zote hizo ulizowapa ulizipimaje? Tabia kama hizo mtu yoyote wa kabila lolote anaweza akajifunza na akaamua kuwa nazo, tuache mambo ya kujadili ukabila hapa....
 
Mjadala huu unaniacha hoi.Hivi ukimtokea mtu kwa hiari yako halafu mambo yakawa ndivyo sivyo ni lazima utangaze janga la kitaifa?
Kama hao mabinti ni mabomu kiasi hicho..mbona bado mnawasarandia kama vile wanawake wengine hawapo? Tukiangalia kwa harakaharaka na kuhesabu waliokimbilia kuoa wachagga wakaacha makabila yao inachekesha sana na hakuna hata haja ya kutoa majina maana wengi "wenye majina" waliooa wachagga wanajulikana.
 
Hivi nimesikia wametajwa wamachame humu... duh jasho lishaanza kunitoka maana si mchezo

Mjadala huu unaniacha hoi.Hivi ukimtokea mtu kwa hiari yako halafu mambo yakawa ndivyo sivyo ni lazima utangaze janga la kitaifa?
Kama hao mabinti ni mabomu kiasi hicho..mbona bado mnawasarandia kama vile wanawake wengine hawapo? Tukiangalia kwa harakaharaka na kuhesabu waliokimbilia kuoa wachagga wakaacha makabila yao inachekesha sana na hakuna hata haja ya kutoa majina maana wengi "wenye majina" waliooa wachagga wanajulikana.

Unajua kwa nini wanaume wengi wanaishia kutulia na wachagga pengine kuliko makabila mengine yote? Ni kwa sababu (pamoja na hivyo vilemba vibaya wanavyovikwa) wanawake wa kichagga wanajua kujichanganya sana. Na hii ndio inayowaweka hatua moja mbele zaidi ya wanawake wa makabila mengine.

Dada wa Kichagga anaweza kuingia mjini mshamba wa kutupwa. Lakini mpe mwaka tu, ukijamwona mwenyewe utashangaa.
 
Sio wachaga wanaonewa kwa kusemwa hivyo, kama mjuavyo bongo kila kabila lina sifa yake hata kama waliofanya hayo mambo ni wachache ndio hivyo tena samaki mmoja akioza wote wataonekana wameoza.
Hata hivyo sifa ya wanawake wa kichaga nyingine wanapenda maendeleo, hawajibweteki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom