Inapendeza zaidi kama... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inapendeza zaidi kama...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by WomanOfSubstance, Mar 7, 2010.

 1. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 0
  Kuna mada zimefanya nianzishe thread hii.... kuna mtu anaomba ushauri ati yeye na mdogo wake wanapendwa na mwanaume mmoja na wamekuwa wakimlia buku kumi kumi za vocha..... inaonekana hawawezi kuachia hizo buku kumi ndio maana wamemganda kama luba ..wakiomba ushauri wa kinafiki.
  Ili basi kukwepa hali kama hizi .....

  Itapendeza kama mtu humpendi ukaacha kupenda kila kitu chake ikiwemo pesa....

  Itapendeza zaidi kama wewe mdada ukawa na akili ya kujitegemea zaidi kuliko kutegemea vya kupewa...

  Itapendeza wewe mkaka kama utaacha kutoa fedha na vitu vingine kama chambo cha kuvuta unaemtaka... hadi utakapohakikisha kuwa the feeling is mutual...

  Itapendeza sana kama wadada wataacha kujibwetesha na kuhangaika kutafuta badala ya kuwanyonya akina kaka kuanzia vocha, lunch, kinywaji, vivazi.....

  endelezeni wana JF...
   
 2. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,398
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  Itapendeza zaidi kama mdada kumwambia ukweli kwamba hampendi mkaka ili kuokoa muda ya mkaka.

  Itapendeza zaidi kukataa fedha au vocha au vitu vinavyofanana na hivyo huku ukijua kwamba kwamba kwa kufanya hivyo ni kumnyonya na ni dhambi mbele ya Mungu
   
 3. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  You have said it all WOS... but to add Itapendeza sana kama wadada wataacha fikira za kimasikini nakupenda kupewa vya bure...

  Itapendeza sana kama wadada wataanza kujithamini (value oneself).....u r the one who can find money,, money will not find you... so go out and work hard
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 0
  Guys,
  You have said it all.... parasites hawa wanastahili kupuliziwa X-pel!
   
 5. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hata mie niliboreka WOS nashukuru umesema yote!eti mtu anaweka kabisa thread kujisifu jinsi yeye na mdogo wake wanavyomchuna mtu vocha!khaa!wakati wengine tunapasua vichwa ni jinsi gani tutafika tunapotaka wengine wanatuaibisha wanawake wenzao!hope dada aliyeleta mada atabadili jinsi yake ya kufikiri!
   
 6. Sydney

  Sydney Senior Member

  #6
  Mar 7, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alafu hii inatia aibu sana siku ya wanawake duniani ndo hiyoooo, alafu ndo tunachangia mada kama hii jamani looh! Mi nasikia najisikia vibaya sana! Akina kaka wa humu JF munitusamehe!
   
 7. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 0
  Itapendeza zaidi kama wakina kaka watawawekea watu wa aina ile vikwazo vya kiuchumi tuone kama hawatahainga.Akina kaka nao mnatuangusha maana ukiangalia takwimu za idadi ya watu Tanzania na duniani kote, wanawake ni wengi kuliko wanaume ( zaidi ya 50%).Kwanini munawaendekeza?
   
 8. shejele

  shejele Senior Member

  #8
  Mar 7, 2010
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Itapendeza zaidi iwapo ukweli huu tutawaambia hata wale wanaotuzunguka, kwa maana wengi wao wanaoyafanya haya hawana hata access ya internet.
  Huko uswahilini kwetu haya unayo yasema yanatendeka sana.
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 0
  Itapendeza zaidi kuanza na hawa wenye access ya internet maana inaonyesha kabisa kuwa wana pa kuanzia....
  huko nako tutafika somo likishawaingia hawa...
   
 10. shejele

  shejele Senior Member

  #10
  Mar 7, 2010
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mi nadhani itakuwa bora zaidi somo likienda sambamba kwa njia zote(wenye access na wasio na access)....wenye access hapa na wasio na access huko mitaani.
   
 11. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,398
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  Haina taabu hapo umepatia!
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 14,794
  Likes Received: 1,431
  Trophy Points: 280
  Naomba kuingilia kati! Nina amini kama sio wote wawili basi mmoja waoameshatembea na huyu jamaa. Ladies you know it well. Kama mdogo aliliwa kabda mkubwa hajajulikana au kabla mkubwa hajajua basi mdog hatasema ameliwa. Pia hawakusema kama jamaa anajua hao ni ndugu/mkubwq na mdogo.
  However, kuchukua hela ya kidume ni kuonyesha kuwa it is the matter of time and mazingira.

  With due respect, nakubali kwamba tabia ya kuchukua fedha kwa wakaka inawafanya wanawake wawe sawa na bidhaa.

  One more thing....sio wamwambie hawampendi...wamwambie hawako interested.
   
 13. T

  Tall JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mbona yote umeshataja? ujumbe umefika.
   
 14. F

  FOE Member

  #14
  Mar 7, 2010
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Itapendeza kama hao waliokua wakila hizo buku 10 za mshikaji wakamtafuta awamege ili kukamilisha nia yake kwao.
  Itapendeza wakishamegwa waje waseme hapa tujue mission accomplished!
   
 15. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #15
  Mar 7, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hapo umenena Mkuu WomanofSubtance.
   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,734
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  ...:eek: ? ...pls dont~~~~~~~
   
 17. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 0
  mhhhhh!
  Nasita kukubali kama itapendeza....
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,734
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  ...Itapendeza zaidi wakiukumbukia ule msemo, "mla kuku wa mweziwe miguu humuelekea!"...
   
 19. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  wapendwa............ kuna kamsemo kuwa "if it works, use it"

  jana nilipost hapa kisa cha rafiki yangu mmoja aliyepitia maisha ya kuitwa "mtoto wa mitaani"........ nmeongea naye mambo mengi sana na kati ya aliyonieleza ni kuwa jitihada zote za kutafuta urafiki na wasichana hazikuzaa matunda hadi anapata kazi na kuwa na pesa za kuhonga ndio alionja "ladha" ya msichana kwa mara ya kwanza!

  sasa ingia kwenye viatu vya huyu kaka halafu anagalia matokeo yake kisaikolojia........... halafu jiulize kama jamii itaundwa na watu wenye saikolojia kama hizi, itakuwa jamii ya aina gani?

  ninaona kuwa tusiwalaumu sana wanaohonga kabla hatujahahkikisha kuwa na wale wanaoyadhibiti mapenzi "wanawake na wasichana" alwayz wanayatoa mapenzi for free. hata jamii yetu bado inaona mwanume bora ni yule mwenye hatua fulani ya maisha. htata hayo mapenzi tunayoyaita mapenzi kweli, mengi yasingejegwa kama mwanume angekuwa hohehahe kapuku. angalieni cases za kujichua miongoni mwa vijana masikini ni kubwa kiasi gani...........

  hata ungekuwa wewe, ujichue ukiwa shuleni, leo uwe na uwezo wa fedha (hata kama ni kidogo) bado endelee ujichua?.......... hebu tuwe fair jamani, sometimes kuhonga ni muhimu kwa afya ya akili.

  kama bado kuna misemo kama "hapendwi mtu........" sasa wale wasiopendwa waendelee kutamani kwa macho hadi lini? kama hela yake aliopata khalali inaeweza kumsaidia, kwa nini asiitumie?mnajua sex urge ikizidi mtu aweza hata ku-commit suicide?
   
 20. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,141
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mie nadhani mgawanyo wa pato la taifa haujawaendea vyema na kwamba hili sio tatizo lao peke yao. Mkumbuke kwamba kuna hata wanaume ombaomba sasa sijui hawa mta wa clasfy vipi. Ila katika majumuisho inabidi tuseme kwa pamoja uomba omba sio mzuri na ujumbe huu umfikie hata mheshimiwa rais wetu kwani kutembea na bakuli huko ambako huwa anakwenda huwa ni kutudhalilisha kama taifa.

  Ukiangalia suala hili kwa maana pana utaona kwamba wakati mwingine uombaomba ni taibia zaidi kuliko hali halisi, na ndio maana sisi kama nchi eti tuna jiita nchi maskini wakati ndio chimbuko la utajiri wa dunia. Kwani kila kitu kinachohusu utajiri kipo Tanzania, tatizo tumekosa viongozi wenye vision na nia nzuri kwa maisha ya mbele ya taifa hili.

  Huyo dada na mdogo wake msameheni tu kwani ameathirika na nadharia za uchumi wa bongo kwamba hata kama una uwezo ni lazima usaidiwe na mgeni ndipo unaweza ukatoka.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...