Recent content by faruujohn

  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume mkimtaka mwanamke mnakuwa wanyenyekevu sana na mkishampata mnabadilika?

    Uliona wapi konda akapiga debe kwa abiria walio ndani ya gari
  2. F

    JamiiForums Tanzania TCU: Maombi ya kusoma "Degree" vyuo kikuu kufanyika Direct katika Vyuo husika

    kuna Jamaa yangu hapa ana Principles 2 tu za mwaka 2010 yaani E History na E ya Kuswahili huyu atakuwa kundi gani Diploma au degree?????
  3. F

    JamiiForums Tanzania Dada anatafuta kazi

    picha plz
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tigo yawatega Washindani wake

    mimina umiminiwe
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona sipati mke wa kuoa jamani?

    Na Kamwe hutapata mke wa kuoa labda ashuke Yesu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kuna Babu huku kwetu Aliibiwa Jigoo lake kubwa tu, akaamua kutangaza kijiji kuzima ya kwamba aliyeiba kwa makusudi au bahati mbaya ajitokeze na aendee. Ikapita kama siku kadhaa hivi kimyaa hakuna aliyejitojeza, basi akatangaza kusoma HALALBADIRI pia hakuna aliyejitokeza. Baada Ya siku tatu...
  7. F

    JamiiForums Tanzania meneja maneno kipaji changu kinateketea nisaidie

    Tuma kazi tuone
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    wapi umekumbuka
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Dawa ni hii Wapake rangi ya Ukili au ile rangi inayopakwa kwenye Mikeka yaani wapake kiwiliwili chote, kuna rangi nyekundu,blue manjano au yeyote ile hii itamfanya kuku aonekane kiumbe cha Ajabu
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote

    Ndio inawezekana kabisa Maana kusimama kwa Dushe inategemeana hali ya kisaikolojia ipoje km hayupo huwezi kudinda kamwe.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua madini ya uno kwa tanzania yanachimbwa wapi na soko lake liko wapi

    Madini ya uno au Madini ya kiuno
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ukienda club na mpenzi wako akafanya hivi utamsamehe?

    Hebu Tueleeze ukweli ili Tukusaidie iyo case ni ya Jamaa yako au ww ndio imekutokea???
  13. F

    JamiiForums Tanzania Fakhi na wenzako rudisheni pesa zetu msimbazi la sivyo......

    Tutaelewana tu
  14. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania ingekua na wanawake 10 kama huyu tungesonga mbele kimaendeleo.

    Mmefunzwa wapi kuomba omba
Back
Top Bottom