Tanzania ingekua na wanawake 10 kama huyu tungesonga mbele kimaendeleo.

Hakuna wakati mzuri Wa kumfariji mtu kama wakati Wa shida,usimtumie hiyo laki mbili Bali panda gari nenda kamuone hali yake, kitendo cha kwenda tu ni zaidi ya Million maana utakua umeonyesha uungwana Wa hali ya juu
Mwanaume wa kweli huwa hashauliwi vitu kama hivyo, angekuwa ameshafika huko alipo hiyo majeruhi.
Huyu ni kijana bado hajajua maana ya responsibility kwenye mahusiano.
 
maneno makal walah!..... kafara....maiti uuh!
Hahaha..! pole sikujua km ni mazito hivyo...! Neno maiti huwa napenda kutania watu kuwa unapenda starehe km maiti maana maiti ukiambia simama,kaa, au tembea inakunyamazia tu ili kila kitu uifanyie na inapenda kubebwa hiyo
Mizimu kiroho ni kati ya roho ving'ang'anizi ikitaka kafara lazima uipatie lasivyo kama huna kinga iwe ya kiganga au ya ki-Mungu lazim as ukudeal.

Sorry naona umepanic sana.
 
sijapanic....sema kuna kamshtuko nimepata baada ya kujarib kuvaa uhusika wa dada anaesemwa
 
Wewe kweli fala alipoteza kila kitu sawa je ulivyokuwa unampigia then anakuambia mtaongea badae alikuwa anatumia computer usitufanye siye maboya
 
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia katika watu mil 50 Tanzania hakuna wasichana 10 wenye hizo tabia kama za demu wako? Hata kama nchi yetu ina akina bashite wengi, tutake radhi mkuu.
 
Back
Top Bottom