Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,425
Habari za Leo wana chit chat
.........Je, ni kweli mwanaume akiwa amechoka Sana wakati wa tendo la ndoa uume unaweza usisimame kwasababu ya uchovu alionao?????
NOTE: jibu swali km lilivyoulizwa km unafahamu chochote... Kama huelewi kaa kmy kuepuka BANNED zisizo za lazima !!!!!