Dada anatafuta kazi

jnia

Senior Member
Oct 10, 2012
112
37
Dada kutoka morogoro anatafuta kazi eneo lolote apa Dar, uzoefu wake upo kwenye biashara ya kuuza duka la nguo, vidodoz na urembo au la vinywaji. kama kutakuwa na kazi inayofanana kidogo na hapo yupo teyari.

asante
 
DODOMA JE?
 
hiyo apo picha
 
Attachments

  • FB_IMG_1495683187583.jpg
    FB_IMG_1495683187583.jpg
    32.4 KB · Views: 59
Habari zenu ndugu naitwa michael Israel,elimu yangu kidato cha NNE natafuta kazi,ya saidia fundi ujenzi,kuuza duka kutunza bustani,kuhudumia mifugo na mengineyo.nisaidieni NDUGU zangu namba zangu no 0768581900 au email yangu no israelmichael47@gmail.com.usiku mwema wanajamii forum
 
Back
Top Bottom