Recent content by fardia

  1. F

    JamiiForums Tanzania TPA vipi?

    Wahi ukasome, majina yamebandikwa pale geti namba 3
  2. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ya malawi kushusha thamani ya pesa yake kwa asilimia hamsini.

    Bora wale wanaoweka akiba zao kwa Dola za Kimarekani. Wao wataendelea kupeta. :usa2:
  3. F

    JamiiForums Tanzania Museveni: Mali za mafisadi zitaifishwe

    Aanze kutaifisha mali zake kwanza.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wizi waibuka Bandari Dar- Magari yachomolewa vifaa

    Sioni sababu ya kuwa na bandari za nchi kavu zinazomilikiwa na watu binafsi. Hivi kweli serikali imeshindwa kutafuta endeo la kutunza hayo magari?
  5. F

    JamiiForums Tanzania Polisi 4 wafukuzwa kwa rushwa ya kumbambikiza ugoni mchina

    Rushwa ni rushwa tu. Iwe ndogo au kubwa zote ni rushwa.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Kurasini Mivinjeni, kulikuwa na miti ya mivinje mingi sana kando ya barabara ya kilwa road. Kurasini Shimo la Udongo, walikuwa wanachimba mchanga wa kujengea nyumba. Yale mashimo kwa sasa wameyafanya mabwawa ya maji taka. Ukonga mwembe madafu, kulikuwa na mwembe ambao wanauzia madafu. Majumba...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya wizara inaonyesha picha za ngono!!!

    Aisee, naona leo zimeongezeka. Jamani, wastueni hao watu waziondoe, kama wameshindwa bora wazime mtandao wao. HILI NALO NI JANGA LA TAIFA.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Chinese Makes fake eggs

    Fake is another name for China.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Malipo ya korosho hayooooo!!

    Safi sana.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Augustino Mrema: Behind the Scene

    Kama angekuwa na nafasi ya Pinda kwa sasa, angewapa SIKU SABA wale MAWAZIRI mafisadi wajiuzuru.
  11. F

    JamiiForums Tanzania simu inahitajika range 150-300/=

    Hiyo bei ni ya Madafu au ya Obama? Au umeweka hiyo dash kwa bahati mbaya ukimaanisha 150300/=?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya wizara inaonyesha picha za ngono!!!

    Duh! ya leo kali. Jamani mwenye kuweza kuwasiliana nao awastue ili wazifute hizo link.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Spika

    Muheshimiwa spika. Naunga mkono hoja.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Was It A Car Or A Cat I Saw

    Bingwa wa rivasi. Buguruni na Gongo la Mbali wapi mboto?
  15. F

    JamiiForums Tanzania rest in peace my daddy

    Pole Mc Tilly. RIP Mzee Chizenga.
Back
Top Bottom