Spika

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,706
155,288
Kila mtu analaumu oooh spika sijui kafanya nini mara kafanya kile...sijui kimekuja hapa kikaenda kule......
Mbona Watanzania mnakuwa wagumu sana kuelewa jamani!! Mnakuwa kama hamjasoma!! Aliyewaambia kazi ya spika ni kuwasikiliza ninyi, ni nani? Kazi ya spika ni kutoa saiti tu basi...
.na si vingine

580580_10150747273485758_692130757_9521633_1473805599_n.jpg
 
Back
Top Bottom