simu inahitajika range 150-300/=

Hiyo bei ni ya Madafu au ya Obama? Au umeweka hiyo dash kwa bahati mbaya ukimaanisha 150300/=?
 
nokia E-72,,, on sale at 250,000,, in a good condition,, infact ndo nnayoitumia hapa sasa hivi kuandika post hii,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom