Recent content by Erick G. Mkinga

  1. Erick G. Mkinga

    Mwenyekiti wa halmashauri Geita ajiuzuru

    HUYU mwenyekiti sijamuelewa..,nimemsikiliza jana kwa umakini mkubwa lakini nikashangaa anaposema Anajiuzulu na UDIWANI.sasa yeye tumemchagua kura diwani hiyo ya uenyekiti ni mikakati yake,sasa inakuaje anataka kutusaliti tuliompigia kura mwaka 2010,kwa ajili ya wachache ambao kipindi hicho nao...
  2. Erick G. Mkinga

    Ajali YA Ndege Mbeya leo

    AJALI YA NDEGE NAMBA 9J-BIO SESINA 206 YATOKEA HUKO JIJINI MBEYA LEO ASUBUHI. abiria walikua wanne,hakuna aliye fariki ila majeruhi..mwenye taarifa zaidi atupe. Nchi imeingiwa na nini? au mzee anahitaji kubadilishwa.
  3. Erick G. Mkinga

    GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Binafsi naiunga mkono CHADEMA lakini si kama Kipofu. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kwamba CCM si mama yake wala si dini yake. Hata mimi CHADEMA si mama yangu wala si dini yangu lakini ni chama ninachokiunga mkono toka moyoni mwangu. Hii ya kada Wa CHADEMA aliitoA JANA....nI MATUMAINI YANGU...
  4. Erick G. Mkinga

    Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

    pole kwa yaliyo kukuta.ndio dunia ilivyo.Watashindana LAKINI HAWATASHINDA
  5. Erick G. Mkinga

    Ya Kandoro inatisha... Ajiuzia gari la TZS milioni 300 kwa milioni 2 tu!

    Nashukuru kwa mada hii,kama una ushahidi wa kutosha kwa nini usipeleke mbele ya sheria,ili iwe fundisho kwa wengine...Maana haiwezekani mali za umma zikawa zinachezewa hivi na wajanja wachache.Mkuu mzima wa mkoa tena alitaka kuwa mbunge halafu analeta mambo ya kihuni ofisini.. Pia mkuu wa...
  6. Erick G. Mkinga

    Harakati za Kumng'oa James Mbatia ktk NCCR-Mageuzi zakolea

    Mbatia,Ni kosa kubwa sana kuwa na VIONGOZI toka KIGOMA,kwa mtazamo wangu na jinsi ambavyo nimepata kuwaona watu wakigoma,ZITO,KAFULILA,RUHUZA,KAKOBE,MKUU WA CHUO CHA USTAWI hawa ni watu wa KIGOMA,,,kama hawashika nyadhifa watakuangusha tuu sababu ni watu wa madaraka zaidi..,Wakipata lazima...
  7. Erick G. Mkinga

    Vyama pinzani vyapata wanachama wapya 14,000

    hoja legevu sasa kama kila mtu asipo ridhika na maamuzi ya serikali anahama,huyu mtu atahama vyama vyote nchi kwa sababu hakuna siku jambo litafanyika tukakubaliana wote,na huu sio msingi wenye ukweli.hebu jipange tena uje kivingine tukuelewe.
  8. Erick G. Mkinga

    Marando na watuhumiwa wa ufisadi

    Are you serious,...Wewe huwezi kuwa CHADEMA na kama mtazamo wako ndio huo sasa hivi wanachama wenzako watakufukuza,,,Haiwezekani mbowe na slaa wamuone anafaa halafu wewe unajifanya hafai,...HII sio tabia ya CHADEMA,Chadema tunataka nchi tuu,ndio shida yetu,tutaipataje hii haituhusu,,,tena kwa...
  9. Erick G. Mkinga

    Kwa staili hii, CHADEMA itavunja muungano

    mzeee hiii ni moja kati ya ajenda zao...Hili suala wao wanalichukulia kisiasas zaidi wakati ni suala la kuwa makini nalo.Wanahitaji kuungwa mkono na wazanzibar lakini wataungwa vipi ndio hawajua..sasa wanatafuta kila nchi ilimradi wa pate wanachotaka..SASA kwa maslahi ya nani ndio sijui.HIvi...
  10. Erick G. Mkinga

    Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

    Tatizo sio kumwadabisha Jairo,aliwaona komedi kwa sababu kila kilichotokea hakikuwa sahihi kwake,sasa afanye nini? hana hatia.Pinda alizungumza bila ushahidi wowote,alitumia maneno ya wanasiasa kumhukumu jairo. Kama hana kosa hakuna maamuzi magumu Ya nini? kwa manufaa ya Nani?...CCM inabaki...
  11. Erick G. Mkinga

    Dr. Kigwangala: another Lucas Selelii

    Safi sana.,,Tunataka wabunge namna hii,bila kujali itikadi zao lakini penye ukweli wananena.
  12. Erick G. Mkinga

    Mbunge Mussa Khamis Silima afariki Dunia

    Mungu akukirimie kutokana na matendo yako,Pole familia yake kwa kupoteza baba,Ndugu na jamaa kwa kumpoteza mpendwa wenu,pia watanzania kwa kupoteza mwakilishi wetu mjengoni..Hatunaye tena Ndugu Mussa Khamis Silima.
  13. Erick G. Mkinga

    Kwa hili la TBA Mhe. Magufuli umekosea!

    John alcohol Makufuli anabaki kiongozi BORA kwa sasa..Na ni lazima ana maadui wengi tuuu,,Tunaomuunga mkono ambao ni watanzania wengi tunajua kuwa wapo walionja joto ya makufuli hawakuishia hapo HAWAMPENDI wao na FAMILIA zao,pia inawezekana wapo ambao aligombana nao kwa mambo binafsi hawawezi...
  14. Erick G. Mkinga

    Kwa hili la TBA Mhe. Magufuli umekosea!

    Nafikiri hii habari imeandikwa kwa hisia sana.Tena imeegemea upande mmoja wa kulaumu tuu.Kwa sababu haijaainisha ni mazuri gani ambayo makufuli kafanya mpaka utuaminishe kwamba tunafikiri mtu mzuri kumbe sivyo..Lakini pia inaonyesha umehisi sababu unasema jamaa wanamjaza maneno,siamini kama una...
  15. Erick G. Mkinga

    Bungeni: Zitto Kabwe amtolea uvivu Shibuda

    Ukweli ni kwamba Posho muhimu.Hakuna kazi ambayo itaenda kwa ufanisi kama watu wahapewi posho..Kila mtu ana maslahi binafsi katika kila jambo,lakini maslahi binafsi kuzidi maslahi ya umma ndicho ambacho hatukitaki..Sasa mtu anaposema wafanye vikaa bila posho ana maanisha nini? maana watu...
Back
Top Bottom