Marando na watuhumiwa wa ufisadi

Marando na watuhumiwa wa ufisadi

ni simple logic too! unahubiri la kupinga ufisadi kesho unaenda kisutu kuwatetea mafisadi!
Sawa kabisa. Kwenye jukwaa la siasa unasema hawa mafisadi wanastahili wawe jela. Jukwaa la mahakamani Kisutu unasema hawa wanastahili kuachiwa. Total contradiction!! It is legally right but absolutely morally wrong. Na kwa mwana siasa, hii ni serious issue yenye gharama kisiasa.
 
mkuu ...... nevertheless ... &quot;<font color="#ff0000">mlalamikaji</font>&quot; previously quoted as plaintiff
Bado sio wewe. Sana sana victim ndio mlalamikaji kama sio shahidi kwa upande wa serikali.
 
Bado sio wewe. Sana sana victim ndio mlalamikaji kama sio shahidi kwa upande wa serikali.

mkuu ... nashukuru kwa kunisaidia kujijibu swali .... mtoto akidhurika kwa namna yeyote ile na baba au mzazi ni victim indirect and at any aggravating circumstances, physical and psychological damages are expected to both
 
mkuu ... nashukuru kwa kunisaidia kujijibu swali .... mtoto akidhurika kwa namna yeyote ile na baba au mzazi ni victim indirect and at any aggravating circumstances, physical and psychological damages are expected to both
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Nawe umenisaidia kujibu swali. Kwa mwanasiasa, watoto ni wananchi wote kwa ujumla na yeye ndo baba/mama. Ndo maana tunamwita Nyerere Baba wa Taifa. Certainly sio kwa sababu alizaa na mama zetu.
 
mkuu ... nashukuru kwa kunisaidia kujijibu swali .... mtoto akidhurika kwa namna yeyote ile na baba au mzazi ni victim indirect and at any aggravating circumstances, physical and psychological damages are expected to both
Full Crackpot
 
Kwa nini niumize kichwa bana ha ha ha. Ni kama vile utotoni, mtu anakutukana wewe unamwambie mwenyewe, basi.

duh ... kumbe nilikuwa na urgue na asiyeumiza kichwa

anyways thanks for unfolding ... now i quit
 
vilaza bana .... limekaa na dictionary lina( kremu) .. teh teh teh .... utabakia ngumbaru mpaka mwisho wako
Bandugu msaada jamani Kremu ni nini? Nimejaribu kufungua Dictionary yangu ambayo nimekaanayo sijakutanana na hii Word (Kremu)
 
Bandugu msaada jamani Kremu ni nini? Nimejaribu kufungua Dictionary yangu ambayo nimekaanayo sijakutanana na hii Word (Kremu)

ujinga ndio unao ku cost
 
...Profesa Sarungi mtaalamu wa upasuaji alikuwa mkuu wa mkoa wa Pwani, Mbunge mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM na kada muhimu. Kuna nyakati alilazimika kutumia taaluma yake katika hospitali ya tumbi pale kulipotokea matukio kama ya ajali, au kuhudumia majeruhi wanaotokana na uhalifu kama ujambazi, wizi, fumanizi n.k.

Sarungi hakufanya kazi kama kada wa chama bali mtaalamu anayelinda kiapo chake cha udaktari cha kuhudumia binadamu bila kuangalia jambo lolote bali uninadamu na utabibu kwa kutenda haki.
Court of public opinion ilimhukumu kama mtu, daktari na kiongozi anayejali na kuenzi taaluma yake kwa kuthamini utu.

.....Profesa kwa wakati ule si mkuu wa mkoa au kada wa chama bali daktari aliyekula kiapo kutoa huduma ya haki kwa binadamu.

Nguruvi3, heshima yako.

Pamoja na kuwa katika hili nakubaliana na hoja zako kadhaa, lakini kulinganisha suala hili la Marando na Daktari kwa namna ambayo umefanya kunanipa mashaka. Pengine labda tuliweke hivi:

"Tuchukulie mafano wa Padre(mkatoliki) ambaye ni daktari na pamoja na mambo mengne kanisani anahubiri na kupinga utoaji wa mimba na hata taasisi yake (kanisa katoliki) inajulikana wazi kupinga utoaji mimba. Lakini Padre huyo huyo, akivaa vazi la kijani hospitali kama daktari anashika vifaa 'kusaidia' kutoa mimba katika 'njia iliyo salama' kina mama wajawazito ambao wamechagua kutobeba mimba/kupata watoto au hata kufanya consultancy ya uzazi bora huku aki encourage wanawake kutoa mimba kama hawapo tayari kuzibeba ama kulea mtoto atakayezaliwa"....say ni katika nchi ambayo kutoa mimba kwa sababu yoyote ile inaruhusiwa kisheria na inafanyika kwa uwazi [najua mfano huu haufanani one to one na issue ya Marando lakini nadhani upo more closer kuliko huo wa Sarungi]

Je katika mfano huu unadhani kuna athari yoyote kwa Padre/daktari binafsi au kwa taasisi yake (kanisa)? Katika kazi yake kama daktari hakuna tatizo kwa huyu padre kufanya kazi yake. Lakini hili analolifanya kama daktari nadhani ni wazi litaathri kwa kiasi kikubwa credibility yake katika kazi yake nyingine kama Padre (makatoliki) na zaidi ya hapo itaathiri pia taasisi yake (kanisa). hivi ndivyo ninavyolitizama suala la Marando.

Leo hii (kwa mfano) Marando anasimama kwenye jukwaa la siasa akimtaja RA kama fisadi na kutoa ushahidi kadha wa kadha huku wakimwambia kama vipi awahi mahakamani....halafu say itokee jamuhuri, either kutokana na pressure ya kina marando/cdm au kwa utashi wao, imeamua kumpeleka RA mahakani kwa ufisadi...halafu Marando now kama wakili maarufu/mweledi anachukua assignment ya kumtetea RA mahakamani (mind you RA ana haki ya kutetewa na wakili makini wa calibre ya Marando! na Marando ana haki ya kufanya kazi yake na hakuna sheria wa maadili yanayovunjwa) ili 'haki itendeke'.

Kuna kitu hakijakaa sawa katika hili.....tuwe wakweli kwa CDM (kama tunakipenda), hili halijatulia hata kidogo! Labda kama tunataka kuendeleza siasa za kuganga njaa na wanasiasa ambao hawana wanachokiamini! Ni kama vile leo usikie ndugu wa wale waliouwawa katika mgodi kule Tarime wamefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni ya madini halafu unasikia Mh Lissu amesimama mahakani akiitetea kampuni ya madini! (politically, it wont make any sense!).
 
Wana JF

Kwanza na-declare interest mm ni mfuasi na mwanachama wa CHADEMA, Hili swala la Marando kuwa wakili wa baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi km vile manji na mahalu litakuja kuwa na madhara makubwa sana hapo badae ktk harakati za chama za kuchua dola natambua kabisa ile ni professional yake na ni vigumu aache kazi aliyoisomea kwa muda mrefu, lakini kabla ya kuchua kazi lazima mtu ufanya client assessment.

Kwa kuwa ameamua kuwa ktk siasa na kufanikiwa kuwa mjumbe wa cc ya cdm ni wakati wake muafaka wa kuhakikisha kimoja kati ya professional yake na siasa hakuna kinacholeta madhara kwa kingine. Kwa hiyo moja ya criteria ya kutumika kwake kum-accept client iwe ni asiwe mtuhumiwa wa ufisadi. Nionavyo mm professional yake kwa sasa inaleta madhara ktk siasa si kwake tu bali kwa Chadema kwa ujumla coz ni vigumu sana mtu kupinga ufisadi majukwaani na kuukubali mahakamani na watu wote wakaamua kukuamini ww ni mpiganaji wa kweli wa ufisadi.

Swala kubwa la sisi wana-chadema tunalotakiwa kulielewa ni kwamba asilimia kubwa ya wananchi hawawezi kutofautisha professional na siasa kiasi kwamba point tutakayoitumia kuuelezea uma ya kuwa hii ni siasa na hii ni professional haitaweza kuzaa matunda yeyote. Marando na uongozi wa juu ulitazame hili kwa mapana na marefu ili nguvu iliyokwisha tumika kukifikisha chama hapa isije kupotea kirahisi kisa mtu mmoja ambae ana uwezo wa kuchua kesi zingine na kuendelea na maisha.

Tujiulize swali dogo kwa mfano leo ROSTAM amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za wizi wa KAGODA na marando akafanya km anavyofanya kwa wale wa EPA itakuwa sahihi? Au kuwatetea wa EPA itakuwa halali na kumtetea Rostam itakuwa haramu wakati wote ni mafisadi?

Nawasilisha

Are you serious,...Wewe huwezi kuwa CHADEMA na kama mtazamo wako ndio huo sasa hivi wanachama wenzako watakufukuza,,,Haiwezekani mbowe na slaa wamuone anafaa halafu wewe unajifanya hafai,...HII sio tabia ya CHADEMA,Chadema tunataka nchi tuu,ndio shida yetu,tutaipataje hii haituhusu,,,tena kwa nje maslahi ya Umma lakini tukiingia MUAFAKA arusha kwa maslahi ya UMMA tunafukuza uanachama....WEWE sio CHADEMA na kama unataka kwenda huko wenzako ni SHIBUDA na MADIWANI WA ARUSHA.wasiotaka kupelekwa.
 
ujinga ndio unao ku cost
LATIFA,
An artful bird can be trapped in a rotten cage! Teh teh teh Great Thinkers wanataka kujua maana hii Word (Kremu)
 
LATIFA,
An artful bird can be trapped in a rotten cage! Teh teh teh Great Thinkers wanataka kujua maana hii Word (Kremu)

teh teh teh .... unachekwa wewe kilaza .... umekaa na kitabu cha English sayings una dessa
 
Back
Top Bottom