Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,711
Spika wa Bunge Mh. Anna Makinda, ametangaza muda huu kuwa Mh. Mbunge Silima aliyepata ajali mbaya ya gari juzi na kumpoteza mkewe. Amefariki muda mfupi pale Muhimbili. Bunge limeahirishwa mpaka kesho kwa maombolezo. Poleni wanafamili wote na Bunge zima kwa ujumla wake.
Mkuu, taarifa hii imeshafika...
Nawatakia pole wafiwa wote.