Kwa staili hii, CHADEMA itavunja muungano

Wacha uvunjike,hauna maslahi kwa bara.
Kama mm malengo ya muungano siyaoni.
Hakuna umuhimu zaidi untuongezea matatizo kwa kukaa kujadili maswala ya muungano badala ya kujadili maswala mengine ya muungano.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani![/QUOTE]

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi].

Uwe unasikiliza vizuri, hakusema Zbr ndio iamue aina ya muungano, alisema Watz ndio tuamue aina ya muungano tuutakao which is true! Sisi wananchi wa pande zote ndio tuamue sio wakubwa wachache ndio watuamulie. Kwanza na uvunjike tu kwani unatusaidia nini? watz bara wengi wameuchoka. Zbr wana Rais wao, bendere yao, wimbo wao wa taifa, katiba yao ambayo haikumshirikisha mbara yeyote, sasa muungano wa nini jamani??????? Binafsi uvunjike tu kuanzia sasa hivi mara tu baada ya kuweka nukta ktk sentensi hii nayoiandika.

Ili waonekane kuwa ni wapinzani lazima waipinge serikali kwa kila kitu. Lakini safari hii wamejikuta wao ndiyo wafukuza mkia kwasababu hoja nyingi zinaibuliwa na wabunge wa CCM wao wanabaki kubwabwaja tu bungeni. Hii ni mbinu inayotumika kuwazima kimyakimya bila wao kujielewa.

ikipangwa listi ya wajinga, Mwita usipopewa namba moja ukifwatiwa na Rajeo then Ritz, hyo list ni batili. I guess u even look stupid in appearance.

Ili waonekane kuwa ni wapinzani lazima waipinge serikali kwa kila kitu. Lakini safari hii wamejikuta wao ndiyo wafukuza mkia kwasababu hoja nyingi zinaibuliwa na wabunge wa CCM wao wanabaki kubwabwaja tu bungeni. Hii ni mbinu inayotumika kuwazima kimyakimya bila wao kujielewa.

Actually u r right! mfano mzuri ni jana yule mbunge wa CCM...eh...nani vile.....Zitto Kabwe alipoibuka na hoja ya Jairo na Bunge zima likaunga mkono hahahahaaa! ni kweli bwana!

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!
alichokisema kimojawapo ni hiki
Mheshimiwa Spika, mapendekezo ya Rasimu ya Muswada hayakubaliki kwa sababu yanaweka mchakato wa Katiba Mpya kwenye huruma na/au fadhila ya Rais wa Zanzibar na siasa za Zanzibar kwa ujumla. Kwa mapendekezo haya, Rais wa Zanzibar asipokubaliana na jambo lolote linalohitaji ridhaa yake basi mchakato mzima utasimama au kusitishwa. Aidha, endapo katika kura ya maoni inayopendekezwa, theluthi mbili ya Wazanzibari hawatakubaliana na Katiba Mpya basi Katiba hiyo haitapitishwa hata kama inakubaliwa kwa kiasi kikubwa na wananchi wa Tanzania Bara.

Mustakbala wa taifa letu hauwezi kuwekwa tena rehani kwenye siasa za Zanzibar na kwenye matakwa ya Wazanzibari kwa kiasi hicho. Kuhusiana na jambo hili, Kambi Rasmi ya Upinzani inapendekeza kwamba Rais wa Zanzibar ahusishwe tu katika masuala ya kikatiba ambayo ni ya Muungano tu. Nje ya masuala hayo, Rais wa Zanzibar hana sababu yoyote ya kuhusishwa na mchakato wa kikatiba unaohusu mambo ya Tanzania Bara."

Aidha, wajumbe wa Tume ya Mapitio ya Katiba ambao watatoka Zanzibar wahusike tu katika mchakato wa masuala ya kikatiba ambayo ni ya Muungano tu. Vile vile, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni inapendekeza wananchi wa Zanzibar washiriki katika kura ya maoni inayohusu mfumo mpya wa Muungano tu. Hii ndio kusema kwamba, kama vile ambavyo viongozi, wawakilishi na wananchi wa Tanzania Bara hawajashirikishwa katika mchakato wa kikatiba wa Zanzibar kwa sababu ulihusu mambo yasiyokuwa ya Muungano, vivyo hivyo viongozi, wawakilishi na wananchi wa Zanzibar wasishiriki katika mchakato wa kikatiba wa mambo yasiyokuwa ya kikatiba kwa upande wa Tanzania Bara.``

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!
mwalimu mwenyewe alishaanza kustuka kuwa unakula kwake na ndo mana alisema tujadili kwa mazingira ya sasa. mimi binafsi hata ukinipa mkopo wa bodi na kuniweka darasani miaka mitatu ukifundisha topic moja ya tuendelee na muungano huu bado nitadisco full nitatumia masaburi.
inshort siutaki! wazanzibar wantumia system ya kulalamika kwamba hawtendewi haki wakati wanaelewa zaidi wanachopata.
hao wabunge wa zanzibar ukiwaambia wakati wa kujadili wizara zisizo za muungano warudi kwao hawakubali. tuache upuuzi tunachnwa bwana ala!
walishakataa ujamaa walishavunja azimio la arusha na rais wao mmoja alishaliambia bunge linatingisha kiberiti sasa nini tunataka? tusiogope mabadiliko tukumbuke hakuna nguo inayoshonwa bila kukatwa

Ufe tu kama mtoa thread na mke wake wanakula kwa mgongo wa muungano wakafie mbele:Wananchi wa kawaida wa pande zote hatuoni faida ya Hili limuungano uchwara.

Huna hoja, unapenda muungano kama mapenzi! toa sababu za kutaka muungano uendelee
Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!

CDM ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo!
Kila siku huwa nasema na nitaendelea kusema!!

yaani hata la Umeme , mafuta, ugumu wa maisha ?, kweli wewe mbuzi yani chama hakina serikali alau kinakutatiza!

Muungano unavunjwa na wazanzibari na sio CHADEMA- badala ya kisisitiza nchi moja wanang'ang'ana na Uzanzibari

kama kuna wanzibar kwa nini kusiwe na watanganyika
muungano haukufuta uwepo wa watanganyika kama usivyofuta uwepo wa wanzibar
watanganyika tumechoka kufunikwa na utanganyika

kama kuna wanzibar kwa nini kusiwe na watanganyika
muungano haukufuta uwepo wa watanganyika kama usivyofuta uwepo wa wanzibar
watanganyika tumechoka kufunikwa na utanzania

Wao wanafikiri wanauchungu sana na utaifa wao kuliko watanzania bara- Utanganyika sisi umekufa wao hawataki uzanzibari ufe. sasa game gani hilo? hii ni confusion. huu muungano lazima utakufa maana kizazi hiki kiko realistic

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!

kwani muungano upo?

Huu ni ujinga hadi Leo bado kuna watu wanaabudu mawazo ya Nyerere?

Mawazo yenu mysterious lini! Acha upuuzi mawazo ya marehemu Nyerere hayana nafasi tena. Ishi kwa mawazo yako binafsi.

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!

Nadhani kile alichokisema Dr Masaburi kinatimia kwako...UNATUMIA MAKALIO KUFIKIRIA....CHADEMA awasemi hawataki Muungano,ishu ya msingi ni aina ya Muungano..Na hii si hoja ya CDM pekee..ni hoja wa wasomi,wananchi na watanzania kwa ujumla.Tunatakiwa kufanya mjadala wa kitaifa kuhusu aina ya Muungano tunaoutaka....sasa wewe unaongea tu bila kufikiria kwa ubongo.....

Kama ni lazima tuwe na muungano basi cha muhimu ni sisi watanganyika kudai Taganyika yetu tu, maana wenzetu wanayo zanzibar yao, vinginevyo haya madudu hayaishi kwenye huu Muungano feki.

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!

mzeee hiii ni moja kati ya ajenda zao...Hili suala wao wanalichukulia kisiasas zaidi wakati ni suala la kuwa makini nalo.Wanahitaji kuungwa mkono na wazanzibar lakini wataungwa vipi ndio hawajua..sasa wanatafuta kila nchi ilimradi wa pate wanachotaka..SASA kwa maslahi ya nani ndio sijui.HIvi muungano una tatizo gani? maana yaliyopo ni mapungufu ambayo yanalekebishwa tuu..sasa tuuvunje wa nini..Watu wanataka AFRICA iwe moja mwingine anataka kuvunja muungano wa nchi mbili..Wanasema huu muungano haupo duniani kote..Sasa huu si mpya.Tumeuona,unafanya kazi.,unawezekana,BASI ni muungano mpya.KUUA muungano ni ujinga na utoto.MIMI sio nawakataa CHADEMA lakini kwa hili sitawaunga mkono hata siku moja...MUUUNGANO ubaki palepale.

Back
Top Bottom