taarifa yako iwasilishe vizuri bila kuichakachua. fafanua ni wapi kajiuzulu na wapi kavuliwa uenyekiti wa halimashauri.
Ni kweli kabisa alikuwa na migogoro na madiwani wenzake, ndipo jana ukumbi wa halimashauri ulizingirwa na polisi kwa kuwa kikao kilichokuwa kinaendelea kililenga kumvua uenyekiti wa halimashauri.
madiwani wa geita walifanikiwa kumvua uenyekiti wa halimashauri ambo aliupata kwa kununu kupitia makusanyo yake katika magari yake ya kusafirishia abiria.
Musukuma hakujiuzulu uenyekiti wa halimashauri, alivuliwa na madiwani wenzake. baada ya kuhisi heshima yake imeshushwa, ndipo alipotangaza kuachia na nafasi zake zote zilizotokana na yeye kuwa diwani pamoja na udiwani wenyewe. hakujiuzulu kwa kupenda bali alitimuliwa, ndo akaachia nafasi zake zote.
kinachomusumbua Msukuma, ni kiburi cha mali alizonazo, akadhani halimashauri itaongozwa na kiburi cha pesa zake. darasa han, ndharia za uongozi hana ili mradi ana hela kila kitu alinunua.