Recent content by EMANUEL LUKWARO

  1. E

    Maswali 11 juu ya ujio mpya wa Lipumba

    Na, Emmanuel Lukwaro. Prof Ibrahimu Haruna Lipumba, Aliyekuwa mwenyekiti w Chama Cha Wananchi CUF, na kujiuzulu mwezi November mwaka jana. Ameibuka upya na kusema kuwa amemuandikia katibu mkuu wa chama hicho barua ya kuomba kutengua maamuzi yake ya kujiuzulu na kwamba arejeshwe kwenye nafasi...
  2. E

    Uganda: Kanali (Mstaafu). Dr Kizza Besigye, ameapa kama rais wa Uganda

    Huyo ameamua kununu noma ya uhaini kwa mikono yake mwenyewe
  3. E

    Brazil na figisu figisu la kumng'oa rais Dilma Ruseff

    Mchakato wa kumn'goa raisi Dilma Ruseff madarakani ulioanza tar 17 mwezi uliopita jana ulichukua sura mpya baada ya kaimu spika wa bunge la wawakilishi kubatilisha kura iliyopigwa na bunge hilo ambapo wabunge wengi walipiga kura ya kumuondoa raisi Dilma. Katika taarifa yake kwa vyombo vya...
  4. E

    Waitara: Wabunge wa CCM wanatishwa na Ikulu

    Taratibu tunarudi enzi za zidumu fikra
  5. E

    Joshua Nasari ni Jipu, alikuwepo wakati Rose Odinga anadanganya

    Inaelekea mleta uzi huelewi Mkutano ule uliandaliwa na nani na kwa utaratibu upi, na hujui ni watanzania wangapi walienda, Hujui kuwa hata aliyekuwa naibu waziri Massele alienda. Hakuna mtu aliyehudhudhia kwa gharama za serikali, wote waliomba na waliohudhuria sio wabunge peke yao hata watu...
  6. E

    CCM washinda Uchaguzi wa Halmashauri ya Kilombero

    CCM wameshinda nafasi ya uwenyekiti wa halmashauri ya kilombero kwa tofauti ya kura moja, huku nafasi ya makamu mwenyekiti ikichukuliwa na CUF. Hayo yametokea wakati mbunge wa jimbo hilo Lijualikali akishikiliwa na jeshi la polisi.
  7. E

    Kwanini Donald Trump hafai kuwa Rais wa Marekani

    Tutabishana hapa lakini ukweli utabaki palepale kuwa hakuna na hatatokea kiongozi wa Marekani mwenye mapenzi mema na Afrika, awe Democrat au Repubican wote wanalenga kuimarisha maslahi ya nchi yao.
  8. E

    Shule za private Kilimanjaro

    Hebu jaribu kufuatolia Kandoto Secondary, Ipo Same Mjini.
  9. E

    American Election 2016: Kicks off in Lowa

    Uchaguzi wa Marekani kwa namna yoyote ni lazima ufuatiliwe sana sio tu na watanzania bali sehemu zote za dunia, kwa sababu by the way USA ndio monitor wa dunia, Ila ukweli ni kwamba yeyoye atakayeshinda hatakuwa na manufaa yoyote kwa Africa sababu Ajenda ya US ni moja na itatekelezwa na yeyote...
  10. E

    Nina 'supp', naweza kuajiriwa?

    Walio carry huwa hawapangwagi kwa ninavyojua mpaka ucleare hicho kimeo.
  11. E

    CWT yapinga walimu kusafiri bure

    Yawezekana wangeshirikishwa kungekuwa na modality nzuri ya kuwasafirisha. Maendeleo ni lazima yakubaliwe na wahusika.
  12. E

    Makonda nilikuchukia ulipompiga Warioba, sasa nimekusamehe

    Mwalimu asilipe nauli alafu mwanafunzi analipa. Inaweza kuwa sehemu ya maajabu.
Back
Top Bottom