singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Wadau hakuna ubishi kuwa Makonda anaendana na kasi ya Dr. Mahufuli ya HAPA KAZI TU, Ni jukumu la wabunge waliopo Dar es Salaam hata kama wa Chadema kushirikiana naye ili kuleta maendeleo badala ya kupiga majungu na fitna zidi yake katika maitandao.
Nawashauri haswa Kubenea akubaliane na Kauli ya HAPA KAZI TU ili wanaubungo wapate maendeleo lakini kucheza na media hakutamsaidia na mwisho ataikimbia ubungo kama Mnyika.