CWT yapinga walimu kusafiri bure

CWT yapinga walimu kusafiri bure

mimi naona afadhali angefanya utaratibu wa kununua STAFF BUSES... Mbona wanajeshi asa hivi wana "military buses"

Lengo lake linaweza likawa zuri ila idea yake ya kufanikisha ilo lengo ndo utata unaazia apo....

Alaf ingekua poa zaidi kama ayo mabasi yanakua STAFF kwa wafanyakazi wa Manispaa nzima... inawezekana kabisa kufanikisha ilo jambo!!
Wangewaongezea hela ya nauli kwenye mishahara yao hii ingeondoa nongwa,na hii ni kwa walimu wa Dar tu au? Muda mwingine sio kila wazo zuri ni wazo jema hili linahitaji mkakati tena uanzie bungeni na ipitishwe bajeti ya nauli kwa walimu Tanzania mzima kupitia mishahara yao! Asipokuwa makini makonda ataingia mgogoroni na bunge pia kama sio viongozi wa chama cha walimu!
 
Hebu pata picha mwalimu nae ndani ya daladala ataulizwa wapi nauli yako?yeye atajibu mi mwalimu,konda atataka kitambulisho akigeuze geuze then masimango yaanze ,sasa umekaliaje siti na walio lipa nauli wamesimama?hapo ndo kudhalilisha kunapo anzia!!!yaan nae mwalimu akaguliwe kitambulisho kama mwanafunzi wake kisa nauli du🙁
 
Yeye Mkoba hajui shida za walimu badala ya kushukuru yeye anaanza kulaumu ,nia apate ujiko kuwa alishiriki kufanikisha hilo jambo,huo ni wivu wa kike,jeyeye na chama chake ni kipi wamefanya kusaidia waalimu kuondokana adha ya maisha duni na tabuwanazopata kila siku
Ni kweli kafanya nini cha maana so far?!? je yeye ameongea na walimu kabla ya kujibu kama yeye binafisi?!?! Hali yake yeye tofauti na walimu hivyo asiwasemee. Ambao watakuwa wanatakakulipa watalipa haina shida sio kwamba wanalazimishwa kusafiri bure.
 
Hata kama walimu wana shida Makonda alipaswa kuwashirika walimu kwanza. Mkoba yuko sahihi kabisa.
 
Yeye Mkoba hajui shida za walimu badala ya kushukuru yeye anaanza kulaumu ,nia apate ujiko kuwa alishiriki kufanikisha hilo jambo,huo ni wivu wa kike,jeyeye na chama chake ni kipi wamefanya kusaidia waalimu kuondokana adha ya maisha duni na tabuwanazopata kila siku
Aliyekwambia shida ya walimu ni nauli ni nani? Wapuuzi wamezoea kuwatumia walimu kupata umaarufu kisiasa.walimu shtuukaaaa
 
Wanafunzi pamoja na kulipa Tsh. 200/= bado wananyanyaswa na makondakta je hao walimu wa kupanda bure si zitakuwa zinapigwa kila siku
 
HIVI HUYU ALIYELETE HOJA YA WALIMU KUSAFIRI BURE ALIKUA ANAWAZA NN MAANA, KAMA NI MSAADA KWA WALIMU NAONA KAMA SERIKALI ITAKUA HAIJATOA MSAADA, KAMA WANAHITAJI KUWASAIDIA BASI WAWALIPE STAHIKI ZAO ZOTE NA MADENI YOTE HALAFU KILA MWALIMU ALIPE NAULI KAMA KAWAIDA ILI KUONGEZA KIPATO CHA TAIFA, LAKIN HII DANGANYA TOTO HAIFAI, MAANA HATA MANUFAA YAKE BADO CJAYAONA KAMA NI KUTAKA WAWAHI KAZINI ILIBIDI WATAFUTIE USAFIRI MAALUM, KAMA NI KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA ILITAKIWA WAPEWE MISHAHARA MIZURI, NA WALIPWE MADENI YOYE, KAMA NI MOTIVATION ILI BIDII KUWE NA UTARATIBU MAALUM WA KUTUMI USAFIRI MMOJA KWA WALIMU WOTE........HIVI NI NINI HASA MANTIKI YA HOJA HII NAFIKIRI HII NDIYO KAZI TUU, ILA SI KAZI BORA
 
Humu wote madomo makubwa kuwa wasemaji wa walim walimu wenyewe wamefurahi au nyinyi mnaona wivu watanzania hata uwafanyie nini labda cjui uwatie jiti la jicho ndio watashukur hua mnakosa ya kuongea mtu kama kabuni jambo jema je huyo kiongoz wa walim yy alikua wapi aache upumbavu wake
 
Naskia watu Wanasema Walimu kusafiri bure ni kama wamezalilishwa
 
Hii Ndio Tanzania nchi ya siasa kwenye Kila jambo,
 
Yawezekana wangeshirikishwa kungekuwa na modality nzuri ya kuwasafirisha. Maendeleo ni lazima yakubaliwe na wahusika.
 
Mimi nahisi Serikali inamjibu makonda kupitia mkoba
 
Watu wengine huwa hawakai chini na kufikiri ,yapo mengi sana ya msingi ya kufanya juu ya walimu lakini sio hilo ,hata teaching alowance kwa mwezi ingesaidia kwa kiasi lakini si ishu ya kupanda daladala bure.watanzania wenzangu tufanye kazi kwa mantiki na kuongea mambo yaliyofanyiwa udadafuzi sio kufanya jambo kwa kutaka uonekane,huyo kiongoz ajipange kwa lingine lakini sio nauli bure kwa walimu.
 
Yeye Mkoba hajui shida za walimu badala ya kushukuru yeye anaanza kulaumu ,nia apate ujiko kuwa alishiriki kufanikisha hilo jambo,huo ni wivu wa kike,jeyeye na chama chake ni kipi wamefanya kusaidia waalimu kuondokana adha ya maisha duni na tabuwanazopata kila siku
Acha mizuka wewe, shida ya walimu ni mshahara na nyumba za kuishi siyo hiace
 
Kama Serikari Yake Inasema Elimu Ni Bure, Basi Angeweka Mpango Wa Hao Wanafunzi Wanaosema Wasome Bure, Ingawa Hilo Neno Bure Lina Ukakasi Mkubwa, Coz Wananchi Ambao Ni Wazazi / Walezi Ndio WANAOLIPA KODI, Na Hiyo Kodi Ndio Inayotumika Kugharamia Hiyo Elimu!!! Sasa DC Makonda Angesema Wanafunzi Woote Wa Wilaya Yake, Kama Si Mkoa Mzima Wapande / Wasafiri Bure Na Hao Waalimu Walipe Walau Nusu Ya Nauli Husika!!! ILA Waalimu Wasafiri Bure Ktk Magari Hayo, Wkt Ni Watumishi Wanaolipwa Mishahara, Wkt Wanafunzi Ambao Ni Tegemezi Walipe Nauli!!!! Hili Suala Lina Changamoto Kubwa Mno, Ktk Utekezaji Wake!!!
 
Back
Top Bottom