Waitara: Wabunge wa CCM wanatishwa na Ikulu

Kutishana kupo tu kokote kule. Hata wamarekani wanatishana sana.
Hata chadema wanatishana sana. Mfano ni pale upendo peneza alipogombea uenyekiti wa bavicha akapingwa na mwenyekiti wake wa chama taifa akidai kuwa huyo binti ni pandikizi. Kwa hiyo kutishana kupo tu. Inategemea zamu ya nani imewahi kusikika haraka.
 
Waitara aache hadaa, je yeye anaujasiri wa kupingana Na viongozi wake.?

Wabunge wa Chadema wenyewe hawapo huru, atakachoongea Mbowe lazima wanatii bila shuruti.

Sasa kama wabunge wa CCM wanatishwa si ndio muda wa wao kuonyesha uwezo wao kuikosoa hii Serikali.?
Swala msingi lipo on board sidhani kama kuna haja ya counter allegations hapa! Yeyote anaweza akaanzisha malalamiko ya kuwa wabunge wa upinzani hawapo huru na akaonesha ni kwa vipi hawapo huru na pengine kama kuna jambo ambalo ni unreasonable alilisema mbowe na wengine wote wakaunga mkono litakuwa la msingi tukilijua
 
Mzee wangu
Kwa maCCM ubunge ni ajira, na nani atakwenda kinyume na utashi wa mwajiri wake?
Yaani Halima Bulembo ajiuzulu sababu hakubaliani. na Magu?
Wacha mizaha isiyofaa

Vizuri umemsaidia. Kwa kujipendekeza mpaka upofu umemfika.
 
Mzee wangu
Kwa maCCM ubunge ni ajira, na nani atakwenda kinyume na utashi wa mwajiri wake?
Yaani Halima Bulembo ajiuzulu sababu hakubaliani. na Magu?
Wacha mizaha isiyofaa

Wew hebu nende kinyume na MBOWE uone utaitwa msaliti kwanzia humu ,mpka nyumbani kwao na ELITE group la mbowe ,si unaona DR ,pamoja na kujitoa kote huko kuwatengenezea POLITICAL PLATFOM yenye kukubalika leo hii kigroup cha watu wachache wanaojiona kuwa wao ndio CDM sana ,wameanza kumtukana ,
 
Kutishana kupo tu kokote kule. Hata wamarekani wanatishana sana.
Hata chadema wanatishana sana. Mfano ni pale upendo peneza alipogombea uenyekiti wa bavicha akapingwa na mwenyekiti wake wa chama taifa akidai kuwa huyo binti ni pandikizi. Kwa hiyo kutishana kupo tu. Inategemea zamu ya nani imewahi kusikika haraka.

ina maana spika wa bunge yupo ikulu kule dodoma wapo manaibu si ndo maana yake tulia na job wameshindwa kufanya kama makinda?
 
Swala msingi lipo on board sidhani kama kuna haja ya counter allegations hapa! Yeyote anaweza akaanzisha malalamiko ya kuwa wabunge wa upinzani hawapo huru na akaonesha ni kwa vipi hawapo huru na pengine kama kuna jambo ambalo ni unreasonable alilisema mbowe na wengine wote wakaunga mkono litakuwa la msingi tukilijua

Sasa mambo ya CCM yanawahusu nin kwa mfano ,sasa kama amealiakwa DODOMA si azungumze mambo yatakayowapa kick wao
Kusema wabunge wa CCM wanatishwa ndo kuishiwa hoja huko ,ni sawa na LUSINDE ,kusema ,mbowe anawatisha wabunge wake wanokataa kutoka nje na wenzeke ,sijui itakuwa na faida gani kwa CCM
 
ina maana spika wa bunge yupo ikulu kule dodoma wapo manaibu si ndo maana yake tulia na job wameshindwa kufanya kama makinda?
Huyo Tulia Akson kwa mujibu wa Waitara nasikia ndiye shushushu wa JPM anawasiliana na JPM muda wowote na kumwambia kuhusu wanaccm wote wanaompinga!

Unaambiwa huyu madam anahudhuria vikao vyote vya kamati ku oversea maoni ya wabunge wa ccm na wanamuogopa kama nini. Kiufupi maisha ya wabunge wa ccm Dodoma yamejaa mashaka na hofu kuu tuwaombee!
 
Wew hebu nende kinyume na MBOWE uone utaitwa msaliti kwanzia humu ,mpka nyumbani kwao na ELITE group la mbowe ,si unaona DR ,pamoja na kujitoa kote huko kuwatengenezea POLITICAL PLATFOM yenye kukubalika leo hii kigroup cha watu wachache wanaojiona kuwa wao ndio CDM sana ,wameanza kumtukana ,
usaliti ni laana
 
Waitara kweli msaliti yani siku ile umekaa na wenzako mnapanga mikakati kumbe unawang'ong'a khaaaa mpaka naona hayaaaa
 
Kwa maana hiyo na yy ametamani hizo simu za vitisho au sijaelewa maana ndo kahamia huko
 
Waitara kweli msaliti yani siku ile umekaa na wenzako mnapanga mikakati kumbe unawang'ong'a khaaaa mpaka naona hayaaaa
Karudi home
Screenshot_2018-07-30-18-49-18.jpg
 
Aisee huyu waitara nilikuwa nakutana naye sehemu moja hivi nikikumbuka maneno yake sijategemea usaliti aliofanya wapi bwana Komu rafiki wa Waitara khaaa maaajabu siku ile unakunywa caste lite unapanga kabisa mikakati kumbe unaenda kugeuka waitara aiseeee
 
Tanzania ni wanasiasa wake ni waongo na wanafiki tu, hakuna hata mmoja anafanya anachokiamini ila tumbo lake.
 
Back
Top Bottom